Mkuu, unahisi sisi wote tuko ktk Whatsapp group lenu kiasi kwamba ukiandika hivyo basi sote tutaelewa unazungumzia nini? Basi ngoja na mimi niandike hivi "Slake adjuster zimekaa vizuri, changamoto imekuja kwenye magneto"
Bilashaka muda uliisha jana tarehe 25 na kwa akili ya kawaida,kulikua hakuna ulazima wa kuongeza muda,japo jana tetesi zilivuma kua kuna ongezeko,lakini zilikua ni teresi ambazo hazikua na ukweli wowote.Pole kwa wale waliochelewa kuomba kwasababu ya kuchelewa kupata taarifa kwa wakati,nawasihi wawe na updates za mara kwa mara,kutoka kwa watu wao wa karibu ili nyingine zikitolewa,wapate taarifa kwa wakati.
Wakuu ninaswali tafadhali. Nikijaribu kuingia leo mfumo wa ajira Tamisemi nakuta account yangu blocked (user account blocked) na nilikuwa hapo muda si mrefu
1) Je ni suala la kimtandao ama nimekula pini
2) je muda umeisha wa kuomba ajira ( dirisha limefungwa)ndiyo huandika hivyo?
3) je ikiwa dirisha la maombi ya ajira limefungwa huwa unapata ujumbe gani unapoingia katika account yako ya maombi?
4) kama ni account ikafungwa je huwa wanashughulika na detail zako za maombi ya ajira ikiwa ulijaza kila kitu? 🙏🙏🙏 Nawasilisha wakuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.