Halotel hongereni sana, ila Tigo, Vodacom na Airtel mnazingua, jichunguzeni

Airtel ndo wanaanza kupotea tyuuh yaan aaah, mie soon nahamia halotel
 
Hata wao pia wana matatizo yao mengi tu mfano usiku walikuwa nagb 10 kwa 1000 wakaja wakapandisha 1500 baadaye wakaweka unlimited sasa wameondoa na kuwa gb tano pasipo maelezo na hayo kwa uchache
 
Halotel ni wabovu kuliko, ni heri hata nipambane na voda hivyo hivyo kuliko halotel, kwa siku3 mfululizo nimenunua kifurushi cha internet cha 2000 gb3 lkn muda unaisha nikiwa hata sijafanya la maana na bando linabaki kwaajili ya speed ndogo, inashindwa kudownload hata whatsap kwenye google chrome.

Upumbavu sana yaani youtube tu ndio inafanya kazi tena kwa kukatakata, na mbaya zaidi nilinunua vocha ikakwanguka vibaya namba nilipowapigia wanasema huduma ya kutambua namba kwa sasa ina shida labda nitafute tawi lao nikawape hiyo vocha wanibadilishie... Ujinga mtupu.
 
Simu unayomiliki umeitengeneza wewe!? Imagine wangeweka iwe ya periodic servicing kama Bastola na Bunduki, na kwamba haiwezi kuwa private device. Fikiria kidogo sawa!? Tatizo mnawahi sana kuvizoea vitu vya jirani!!!

wanakutengenezea bure?
 
Halotel wauni. Kama unapakua kitu, kabla hakijamalizika kwa 100%, net inakuwa interrupted ghafla halafu unatakiwa uanze upya kutoka 0%. So unajikuta Mbs zinapotea pasipo kukamilisha malengo yako.
 
Halotel wauni. Kama unapakua kitu, kabla hakijamalizika kwa 100%, net inakuwa interrupted ghafla halafu unatakiwa uanze upya kutoka 0%. So unajikuta Mbs zinapotea pasipo kukamilisha malengo yako.
Yap! Yaani inaboa sana aisee, inadownload watsap siku2 na bado imeshindwa kuimaliza inajirudia rudia hivyo hivyo
 
Unatumia simu ya Aina gani.
Halotel wanajitahidi sanaa.hata vifurushi vyao ni rafiki kabisa
Halotel wauni. Kama unapakua kitu, kabla hakijamalizika kwa 100%, net inakuwa interrupted ghafla halafu unatakiwa uanze upya kutoka 0%. So unajikuta Mbs zinapotea pasipo kukamilisha malengo yako.
 
Naomba mrejesho wa mada wakuu. Leo tarehe 2 april 2021. Hawa wajamaa duu toka 1.2gb mpaka 420mb. Hatari sana
 
Back
Top Bottom