Recent content by Abel K Mwamlima

  1. Abel K Mwamlima

    Nafasi za Kazi Afrika Kusini

    Kampuni yenu? Mnazungumzia mambo ya computer halafu Hamna website au Official link? Does that make any sense? [emoji23] [emoji23] [emoji23] People need money to solve their problems, but they have forgotten that money is a greatest problem of mankind! Cool! Nice fishing Sire.
  2. Abel K Mwamlima

    Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Kwa anayejua biashara ya jumla ya vocha anieleweshe wanapataje kwa bei nafuu na kujumlisha. Faida yake iko vipi kwa duka la jumla?
  3. Abel K Mwamlima

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Ninataka kuingia kwenye biashara ya mazao hasa nafaka Kama mahindi na mpunga, naomba ushauri wa source zenye low price lakini ubora wa juu wa mazao hayo humu nchini. Lakini Pia naomba kujua masoko mazuri ya mazao hayo na jinsi ya kusafirisha kwa bei nafuu zaidi. Mtaji wangu mdogo lakini ni...
  4. Abel K Mwamlima

    Kwa Calculation hizi mimi Nanyoosha Mikono!

    But what about your mom? If you -> your mom, and your mom->women and hence; you->women. But women<-> problems thus; you->problems therefore you mean without problems, you are erased from existence or otherwise you are devoid of mathematical language.
  5. Abel K Mwamlima

    Wanawake ni wengi mno!

    [emoji92] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Abel K Mwamlima

    Naomba ushauri kuhusu Course ya Metallurgy and Mineral Processing Engineering

    Safi! Faculty nzuri sana, utachenjua dhahabu, shaba, chuma, aluminium.....nk, kipi kitakushinda ulimwengu huu? Soko lako small scale mpaka mega scale MUNGU akupe nini weye!
  7. Abel K Mwamlima

    physics laboratory

    Nature of physics lab apparatus (Solid Mechanical) hence have max heft, can affect the center of mass of a story building(can create instability), thus; the safest place is the lowest floor.
  8. Abel K Mwamlima

    What is the true polarity present in nature?

    For so long we have been thinking that negative and positive are the two reverse polarities ruling nature. What if the true controversy exists between being and non-being, presence and absence or existence and non-existence? Think of this, Electronic scientists works under the phenomenon that...
  9. Abel K Mwamlima

    Vifaa vya maabara ya physics

    Kuna Mwalimu wa masomo ya sayansi anaweza kunielekeza mahali pa kupata vifaa vya maabara kwa jijini Mbeya?
  10. Abel K Mwamlima

    Alternators!

    Nahitaji alternator ya gari kwa bei rahisi! Nisaidie kama una upeo wa masuala haya!
Back
Top Bottom