Recent content by Abel edward otieno

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii video inayosambaa mitandaoni kuhusu Corona Moshi ni ya kweli?

    Ata nzige kwetu hazikufika zilifika tu kenya Uganda nk kwa Tanzania wala ila BBC wana sema ata Tanzania zilifika pia unajua ninachomaanisha?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Arsenal FC, Mikel Arteta akutwa na Ccorona (covd 19)

    Na mchezaji wa Chelsea odoi nae tested positive
  3. A

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania ni wezi

    Tumie mabenki mobile money ni gharama kubwa sana watu hamjui tu ukipiga hesabu unatumia hela nyingi sana kwa mwaka kuliko ata kulipia ada ya chuo kikuu kwa mwaka chukua mda kidogo tu alafu uangalie
  4. A

    JamiiForums Tanzania NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Anadai na simu pia iliporwa pamoja kwenye ilo beg aliwasiliana nae vipi kwa haraka kiasi hicho na je mda huo si bora angeenda mwenyewe bank kuripoti kuliko kumtuma mtu tena mtu watatu acheni mzaha
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Apple mbona hampo makini kwenye suala la ubora wa betri za simu zenu?

    Kweli kabisa betri kwa iPhone ni changamoto kubwa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

    Wewe ndo mdini
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mnyama ISHA

    We utakua chambu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Haitokuja kutokea Kampuni safi ya usafirishaji abiria Tanzania kama Scandinavian Express

    Ahaaaaa walipimia waluguru na waha aise
  9. A

    JamiiForums Tanzania Rai: Serikali isitishe uuzaji nafaka nje ya nchi: Hali siyo shwari, Gunia la mahindi limefikia 100,000/= kanda ya Ziwa.

    Bei ifike ata 150.000 sawa tu mkulima apate angalau make pembejeo bei juu gharama ya kulima ni kubwa sana serikali haitoi ruzuku wewe unaetaka bei ipungue ujui gharama za kilimo wewe mbona cement nondo mabati misumari nk imepanda bei hampigi kelele zipungue bei? Mmezoea kumlalia tu mkulima kila...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mifuko inayoitwa "Shangazi Kaja"

    Kwetu yanaitwa mabegi ya ukerewe
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa ninauliza ile taarifa yenu mbona hatupati mrejesho tena?

    Wanatabiri kwa kutumia tunguri hao hawan jipya
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nina bifu kali na Makonda lakini kwa suala la marehemu Ruge mnamuonea bure, nipo kumtetea.

    Ungekaa kimya acha kuongelea mtu asiekuwepo tena duniani haisaidii
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Vodacom Tanzania kwaherini nahamia TTCL

    Mitandao yote sasa hivi ni wapigaji mimi mwenyewe nilikua halotel na line ya Chuo wakaniambia sujajiunga parkage yoyote wakati iyo naitumia zaidi ya mwaka ikabidi niahamie ttcl saafi sana kwa tshs 5000 unapata 4.4 GB mwezi mzima kwa line ya chuo
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wasanii mnalia hadi mnakufuru

    Ushasema ni wasanii wanafanya usanii wao ova
  15. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Labda kupitia kwa balozi wetu wa Africa kusini
Back
Top Bottom