mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,741
HiiMkuu, naomba utuwekee vifurushi vya ttcl vya wiki na mwezi,,na bei zao kwa ujumla.huenda nikashawishika kuhamia huko
Sent using Jamii Forums mobile app
HiiMkuu, naomba utuwekee vifurushi vya ttcl vya wiki na mwezi,,na bei zao kwa ujumla.huenda nikashawishika kuhamia huko
Kweli voda wamezidi!Na ukiwapigia cm wataanza kusema mara app inakula data!mara story kibao!halafu end of day hakuna ulichosaidiwa!Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa.
Kwa muda mrefu nilikuwa naisubiria muvi ya Aquaman iwekwe YIFY. Kama zali kweli leo asubuhi na mapema kabisa ikawekwa. Usingizi ukaniisha palepale, nikawasha laptop yangu chap chap na kufanya teathering kwa njia ya simu.
Mimi ni mpenz wa kuangalia muvi ilodownlodiwa kwa quality nzuri, so nikachagua yenye 1080WEBRip ambayo ina GB 2.3. Then nikajiunga DAR SUPER UNI za GB 1 tatu kwa shilingi elfu moja each. Nikawa na GB3 zangu saafi wakat muvi inahitaji GB 2.3.
Sasa kilichotokea ni kituko, hizo GB 3 zimeisha wakat muvi bado ina MB 600 tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Na sikuwa nasurf chochote kile na wala laptop haikuwa background program zozote zinakula data. Sijaweka automatic update yyte ile.
Aisee nimeudhika sana ikanibidi nitoke nikanunue vocha ya TTCL tuu. Nimejiunga boom pack yangu, nikashusha muvi kwa raha zangu na data zimebaki kibaaaao. Shame on you mitandao mingine kwa mnachotufanyia siku hizi. Maisha ya sasa yanahitaji data zaidi katika mawasiliano kuliko hizo dakika na sms. Ni bora mkatoa hizo madakika mengi mnayoweka ila muongeze ubora wa vifurushi vya data.
View attachment 1038414
Nauliza hivi wizi dizaini hii wa mitandao ya simu unaruhusiwa kuchukua RB kituo cha polisi kilicho karibu yangu?Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa.
Kwa muda mrefu nilikuwa naisubiria muvi ya Aquaman iwekwe YIFY. Kama zali kweli leo asubuhi na mapema kabisa ikawekwa. Usingizi ukaniisha palepale, nikawasha laptop yangu chap chap na kufanya teathering kwa njia ya simu.
Mimi ni mpenz wa kuangalia muvi ilodownlodiwa kwa quality nzuri, so nikachagua yenye 1080WEBRip ambayo ina GB 2.3. Then nikajiunga DAR SUPER UNI za GB 1 tatu kwa shilingi elfu moja each. Nikawa na GB3 zangu saafi wakat muvi inahitaji GB 2.3.
Sasa kilichotokea ni kituko, hizo GB 3 zimeisha wakat muvi bado ina MB 600 tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Na sikuwa nasurf chochote kile na wala laptop haikuwa background program zozote zinakula data. Sijaweka automatic update yyte ile.
Aisee nimeudhika sana ikanibidi nitoke nikanunue vocha ya TTCL tuu. Nimejiunga boom pack yangu, nikashusha muvi kwa raha zangu na data zimebaki kibaaaao. Shame on you mitandao mingine kwa mnachotufanyia siku hizi. Maisha ya sasa yanahitaji data zaidi katika mawasiliano kuliko hizo dakika na sms. Ni bora mkatoa hizo madakika mengi mnayoweka ila muongeze ubora wa vifurushi vya data.
View attachment 1038414
Nauliza hivi wizi dizaini hii wa mitandao ya simu unaruhusiwa kuchukua RB kituo cha polisi kilicho karibu yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
ISSUE SIO KUHAMA WE NEED A WORD FROM TCRA KWA MITANDAO YOTE WHY ARE THEY NOT MONITORED.....na kuwa na user friendly rates ,,,,its too sad...indeed...
Wanakera sana hawa vodacomM-PESA napo utata..wanabadilishabadilisha charges za kuweka na kutoa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpesa nayo wanajibadilishia viwango vya kutoa na kuweka kama wanavyotakaMimi nimetoa elfu 5 juzi kununua halotel ya chuo ......sasa ni mwendo wa jerojero tu ...hawa Voda watanisikia kwenye m pesa tu wapumbavu wakubwa eti vifurushi vya chuo wiki 5000 GB 3 sasa si bora wangeacha tu wiki GB 1.5 2500 sasa kwa ujinga wao nimehama mtandao wajinga wale
Sent using Jamii Forums mobile app
BEI ZA VIFURUSHI VYA HAO TTCL KWA UCHACHE😛lanData VolumePrice (TZS) Daily 600MB 500/= Weekly 2GB 2000/= 3GB 2,500/= M onthy 2GB 2,500/= 5GB 5,000/=
PlanData VolumePrice (TZS) Daily 600MB 500/= Weekly 2GB 2000/= 3GB 2,500/= M onthy 2GB 2,500/= 5GB 5,000/=
Binafsi sijakumbana na hilo tatizo voda,ingawa nalia bundle zao tu gharama kuwa kubwa.Ttcl wako poa ingawa jiandae mda wowote network kukata,yaani unaona mnara umejaa ila kudownload kitu cha mb 100 utakesha.ila pamoja na mapungufu yote ya voda,4G yao nahisi ni the best kwa Tz.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ile pia ya 1000 gb 4 unatumia mb 600 kawaida then gb 3.5 unatumia kuanzia saa 2 usiku had 12 asubuh
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Karibu kwenye familia ya TTCLNilikuwa na 889MB nikawa nadownload notepad++ ambayo haizidi MB 20 wakatuma taarifa kwa voda taarifa kuwa MB zimeisha ila nitarudi home sweet home,hapa naungaunga buku buku nipate kibunda ya kununua Ttcl mifi
vifurushi vya wifi sijuiAsante Mkuu, vifurushi vya WIFI pia vikoje? Naomba uniwekee pls