Omary Mezza
Member
- Jun 26, 2019
- 31
- 57
Wewe umeona kwenye bando tu, kwenye miamala ndo usiseme laki mbili unakatwa 5,300 yaani M-Pesa ni tatizo wameongeza sana, mamlaka zifatilie hili jambo wanaumiza wnanchi na makato.
Hapo wanasema 10GB muda wote na 17GB kuanzia saa sita usiku mpaka 1.59 asubuhi.. Huo sio usanii?Nimenunua kifurushi cha mwezi mzima kuanzi tarehe 14 February, nilipata GB kama sijakosea 19GB, mpaka tarahe 29 asubuhi bado nilikuwa na salio la GB 16.3.
Kifurushi changu kinaishia tarehe 15 March.
Jana saa kumi na mbili jioni napata sms hii kutoka VODA “Your TSH35000 bundle balance has finished. Enjoy freedom to call or browse in a bundle. Dial *149*01#>Pinduapindua”
Nimewapigia voda mara tatu sasa wananiambia tatizo lako linashughulikiwa tutakujibu baada ya masaa 24.
Hivi VODA Tanzania wanatupa hizi huduma kwa hisani au sisi wateja tunazilipia na ni lazima tupate huduma tuliyolipia kwa wakati?
Nilinunua kifurushi number 4
View attachment 1373354
Salio kama linavyoonekana kwenye app yao wenyewe lakini wamenikatia internet. Kuna hatua yoyote ya kesheria naweza kuchukua? TCRA wanaweza kusaidia chochote hapa?
View attachment 1373358
Vodacom ni wezi sana, mwezi uliopita nilikua na uhuru package sh,20,000 kwa bahati mbaya nikawasha data upande wa voda japo sikua na bando la voda jamaa wakaanza kutumia salio langu ambalo halikua linahusiana na bando kabisa nikawapigia cm.wajaniambia siku hizi hata usipojiunga bando kama unasalio kwenye mpesa au uhuru package zinatafunwa zote ghafla nikataka kuunga bando nikakuta nina tshs,0.00 ndo nikatambua huu mtandao ni wezi balaa ila tcra walisha wapa worning sijui kwanini wanaendeleaVoda mpenzi wangu badilika acha tabia ya kuwaibia wateja,huoni aibu unazomewa kila kona mwizi mkubwa wewe badilika na ukiri hadharani ulinde heshima yako ya kuwa mtandao bora.