Abel edward otieno
Member
- Nov 15, 2017
- 56
- 24
Kikwetu tunawaita Nsha
We utakua chambu
Kikwetu tunawaita Nsha
🤣🤣🤣🤣🤣 nyie mlidhani ni kuku hao??? Kinachoweza kumkimbiza kikampata huyo ni Simba,Chui,Duma ama risasi!Hawa viumbe walitutesa sana kipindi cha shule ya Msingi. Yaani tunawawinda kuanzia sa4 asubuhi ni kukimbizana tu hadi jioni na hatuwapati tunaishia kuua Makenge tu daah.
Alivo na mashauzi vile utamuweza kumfuga isha weweAnakubali kufugwa, je naweza kumpataje kwa lengo la kumfuga
Rekebisha hivyo vipimo vinaweza kuwa haviko sawaUrefu=Isha mkubwa hufikia urefu wa sentimita 70 hadi 95.
Kimo= kimo cha isha hufikia sentimita 45 hadi 60.
Uzito= wanyama hawa huwa na uzito wa kilogramu 7 hadi 16.
Alipitiwa kidogo maana mnyamapori jamii ya swala mwenye kimo kidogo zaidi ni dikdik,,,, maana natafuta history ya dikdik nikajikuta hapa,,,,Rekebisha hivyo vipimo vinaweza kuwa haviko sawa