Recent content by ABEDNEGO CHARLES

  1. ABEDNEGO CHARLES

    NAHITAJI MWANAMKE WA KUMDEGEDA!

    Km ujinga ungekuwa Ni ugonjwa kuna watu wangelazwa hospitali maisha yao yote
  2. ABEDNEGO CHARLES

    Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Gadafi kafanya lipi? Post sent using JamiiForums mobile app
  3. ABEDNEGO CHARLES

    Ben Pol: Nilichokilenga kimefanikiwa

    Picha ina tafsiri kubwa. Lengo Lake halikuwa ushoga. Wachache sana walimwelewa.
  4. ABEDNEGO CHARLES

    Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

    Chumvini ndio wapi tena?
  5. ABEDNEGO CHARLES

    Mpenzi wangu anahamia Dodoma

    Uhamisho si imesitishwa hadi uhakiki uishe mwakani? Unaweza ukawa umedanganywa?
  6. ABEDNEGO CHARLES

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Tafadhali mni add kwenye kundi la old gospel namba 0756 28 66 96
  7. ABEDNEGO CHARLES

    Ushirombo, Geita: Mwalimu hatiani kwa mauaji ya mwanafunzi

    Bw Robert, ninavyojua mimi mwanafunzi haruhusiwi kuwa na simu shuleni. Siyo nyumbani. Mazingira yanaonyesha Huyo mwanafunzi hakuwa mazingira ya shuleni. Km ni boarding school hapo sawa
  8. ABEDNEGO CHARLES

    Dodoma: Wanakijiji Mvumi - Chamwino wachoma moto gari na kuuwa maafisa wa Taasisi ya Kilimo

    Tukio lililotokea ni baya sana na la kinyama. Hata hivyo sioni kwanini watu wanaacha kutafuta kiini cha tatizo wanaishia kushutumu kabila la wagogo kana kwamba tatizo ni kuwa mgogo. Wapo wagogo wasomi wa haja na waelewa tu km akina Prof Paramagamba Kabudi, Prof Yohana Msanjila, Prof E. Mbenna...
  9. ABEDNEGO CHARLES

    Ushirombo, Geita: Mwalimu hatiani kwa mauaji ya mwanafunzi

    Kwani kuna kosa gani mwanafunzi kuwasiliana na mwl wake? Kuna sheria?
  10. ABEDNEGO CHARLES

    Mwenye contacts za chuo cha Mtumba Dodoma

    Usiropoke bw mdogo. Mtumba ni Chuo na UDOM ni chuo pia.
Back
Top Bottom