Recent content by Abedi Musa

  1. Abedi Musa

    JamiiForums Tanzania Botswana waichana live USA

    Anapanga mikakati ya kututawala upya nn?
  2. Abedi Musa

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kuzima data ni ushamba

    Charge ndyo tatizo mkuu, tatizo sio bundle! Pia kumbuka kuna watu hawana kazi kwenye baadhi ya groups wanna chat muda wote, hivyo wanasumbua. Nibora uwashe data muda ambao utatumia/kusoma message na emails
  3. Abedi Musa

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Dreamliner inataka kuwekwa rehani

    Ni wakati wa serikali kuanza kuwatumia wakandarasi wa ndani kwani hata wao wakiwezeshwa wanaweza kujenga miundombinu yenye ubora na pale wanapohitaji msaada kutoka nje wakandarasi wetu wawe na uwezo wa kuajili wataalam hao
  4. Abedi Musa

    JamiiForums Tanzania Hii video imenitoa machozi huu utawala haufai kabisa

    2020 is coming! Ccm out Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Abedi Musa

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Pale beberu anafanya yake. Inamaana kuna mtu kaumia nin? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom