Nahitaji msaada wa vifaa na gharama zinazohitajika ili kuanzisha sehemu ya kuzalisha mikate
Naombeni msaada wenu Wana forum
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mujibu wa maelezo yake nchi inapaswa iyongozwe na maprofesor kiufupi jamaa anajivunjia heshima kila leo kwa mtu ambaye ni mdogo sana ukilinganisha na nyadhifa yake katika dini.
hatuna uhakika na uzuli wa huyo mtu coz swala uzuri linabaki kuwa ni mtazamo wa mtu huyo dada ana matatizo binafsi ambayo wanaomuacha wanayajua, cha msingi mpende anaye kupenda..na mzuri ni pesa inayo nunua wazuri ya huyo...ni mtazamo lakini..
kama unakipaji tumia kipaji chako kwa level ya kipato ulonacho na skills ulonayo kwa kufanya hivyo unaweza kujinasua kwenye janga la utegemezi wa ajira....mtazamo wangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.