Kwanini wadada wengi wazuri huwa hawadumu kwenye ndoa?

Mambo vipi members,

Aisee kuna mdada hapa mtaani kwetu yaani ni mzuri nikisema mzuri namaanisha, yaani ana kila kitu yaani mdada amekamilika yaani akipita hata sisi wadada wenzie tunageuka kumtizama.

Sasa akiongea ndio usiseme yaani ana kasauti flani hivi amazing. But cha ajabu ameshaolewa Mara 3 mpaka sasa na kuachika na wale wanaume wameoa wanawake wa kaiwaida tu sio wazuri kama yeye but ndoa zao zimesimama.

Huyu nimemtumia kama mfano tu ila wapo wengine wengi tu kama huyu hasa huku kwetu Mbagala. Hivi tatizo linakuwa nini wajameni?
Wana nyodo sana
 
yani kwanza hujui kutoa papuchi bila kuombwa na ukiombwa unaringa nayo kama mali vile.... jifunze kutaka dushe na pia jifunze kutoa bila kulazimishwa japo si utoe kila siku.. na ili usiboreke jifunze kuitaka wewe utaenjoy
Nimekubal mkuu mwanamke akitaka yy inakuwa tamu sanaa
 
hatuna uhakika na uzuli wa huyo mtu coz swala uzuri linabaki kuwa ni mtazamo wa mtu huyo dada ana matatizo binafsi ambayo wanaomuacha wanayajua, cha msingi mpende anaye kupenda..na mzuri ni pesa inayo nunua wazuri ya huyo...ni mtazamo lakini..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom