Recent content by Abdulwah ibun ousman

  1. A

    JamiiForums Tanzania Asili ya baa za maziwa

    tz sijaona bar za maziwa
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Lawi Nangwanda Sijaona (1928 - 2005)

    hivi naanzaje kuacha kusoma andiko lako? ubarikiwe sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mtoni kwa Azizi Ally; Brazil ndogo iliyojaa vipaji

    NIMESOMA MTONI KWA MAMA MARY 1989-95. Enzi za mwl baraka alikuwa kilema au ana mguu bandia. Mwl mkuu mchera. Tukicheza mpira wa kitenesi bwaloni. Shule binafsi, lkn darasa la kwanza na la pili, tulikuwa tunakunywa chai ya bure ya shule. Nimesoma na jamaa zangu wakina masudi, (alikuwa mweupe...
  4. A

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    WE HAUNA UTASHI JUU YA HAYA MAMBO. JIULIZE KWANINI WAISRAEL WALIMRUDISHA MADARAKANI NETANYAHU? LEO HII MAREKANI WANAMTAKA TENA TRUMP ASHIKE MILANGO YA IKULU.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar us Salaama (Dar es Salaam) Tanzania kabla na baada ya mwaka 1868

    Ahsante kwa history tamu. Naomba kuelimishwa. mji wa Kunduchi bd upo hata sasa. tTndwa imebadili jina na kuwa Upanga, mbwamaji imekuwa mji gani kwa dunia ya sasa?
Back
Top Bottom