Hili swali nimejiuliza sana!
Wakati mwingine inanifikirisha sana hata kuanza kujudge uwezo wa kufikiri wa waalimu wetu, mdogo angu kila siku anabeba daftari zaidi ya 10 pamoja na vitabu nikimuuliza kwanini anasema Mwalimu x kasema madaftari yake yote kuanzia form 1 tuwe tunabeba (sasa yuko form...
Toa hoja, acha kujibizana kama mtu asiye na kichwa. Shida yenu wanaharakati wa online ni kujiona mko smart kuliko wengine, Mwenzako kaweka hoja zake na wewe weka zako.
Ukiangalia tu jinsi anavyojibu hoja zako utagundua una-argue na mtu wa aina gani.
Unaweza kupoteza nguvu kumbe unabishana na mtoto wa form-4.
Umemuelewesha na bado amepinga bila kuja na hoja za msingi. Ni Ego na utoto ndo unamsumbua
Huwezi kucare kwasababu hakuna kitu unafahamu Young man.
Nikupe tu a little story, in Engineering watu wanaface lots of problems ambazo simply no matter how strong our Math skills we can't solve them analytically badala yake we let Numerical computations and Computer to help us estimate the...
Ukishaanza kudai Physics ni rahisi, basi hakuna unachoelewa kwenye physics bali unakariri.
Ilichukuwa almost 20 Years kutokea mtu wa kwanza aliyekuja kuelewa completely equations za Maxwell achilia mbali hizo, unazifahamu Navier-Stokes equations?
Haya, The general Unified Field Theory ambayo...
Mkuu, Nilifungua upwork kama observer account na sikuregister njia yoyote ya payment.
Huu mwaka nataka nianze kuifanyia kazi, kwenye kuregister payment nimechukuwa ambayo ilikuwa recommended pale, payoneer, sasa kwenye kupata verification code kwa namba ya simu niliyoweka ndo imekuwa mtiti...
A bit off topic, sipo kwenye hii mada ila kwa hii hoja yako hata Ukristo unaingia pia kama ndiyo ilikuwa point yako kuutetea.
Fuatilia Historia ni kwa jinsi gani Ukristo ulienezwa halafu linganisha na Uislamu ndo utajuwa dini gani ilimwaga damu nyingi kwa kigezo cha kutangaza neno la Mungu...
Hoja yako inashangaza sana, statistically wanaoongoza kwa kupiga hizo unazoita kelele ni Christians. Mimi nipo ubungo, mtaani kwetu kuna kanisa hapa weekend nzima kuanzia asubuhi mpka usiku ni kukesha na kuimba nyimbo za kuabudu na wanafungulia maspika unasema msikitini kitu ambacho hata saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.