Recent content by Abdulrahman Mbelwa

  1. A

    Mke wangu ni Waziri, naombeni mnishauri hiki kitu....

    Jiangalie mwenyewe kwanza unajimudu, kama ndio tafuta mwingine na kama yeye ndio mke mume bora ule anacholeta, vumilia sbb ukileta fyee utalalanje, nahuyo humwezi kashakua mjanja.
  2. A

    Mbunge wangu Godbless Lema, umebaki mpweke gerezani, majuto ni mjukuu

    Mimi nampa pole Mbunge Godbless Lema, lkn kujaribu nikujua, sasahivi ameijua serikali maanayake ninini nnaimani hatoichezeatena, Mungu amjaalie atokesalama.
  3. A

    Wako wapi wanawake wa aina hii siku hizi?

    Hayo sikuhizi hawapo ila wapo wakuangalia mfukowakotu.
  4. A

    Rais Magufuli kuomba kujengewa msikiti na uwanja wa mpira wakati Kagera watu hawana makazi

    Wewe usimuone Mhe.Maguguli hanaakili,huwenda Mtikugu Mfalme kaomba yeye na Mhe.karuhusu.Kwani yeye haliyainchiyake haijui au gere?
  5. A

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Wewe bwana Fabyan,tatizolako nidogosaana,Kwanza mama umejua munguyupo,basi navitabuvyake utaviaminitu.Sbb kunawenzio wanaamini. Kua Mungu hayupo(ethiesim)lkn uwe Muislamu kwanza alafu hiikauliyako utaijutia.
  6. A

    Ni nini asili ya mwitiko wa "Naamu" na "Beee"?

    Hii maana (Na'am) sio (Naamu) nilugha yakiarabu, yaani ukisema (Na'am) yaani umekubali kile kinachosemwa,au wito. Lkn Beee hiyo nilugha za Pwani za Kizaramu na Kidengereko nk.
Back
Top Bottom