Mke wangu ni Waziri, naombeni mnishauri hiki kitu....

Call me old fashioned but..............mimi ndio maana I truly believe "Si vyema mwanamke kumshinda wadhifa, mapato ama hata elimu mwenza wake!".Pole sana mkuu. Ukute unahaha bure for nothing but inferiority complex.
I love you
 
Mume wa waziri umepata muda hadi wa kuweka avatar kama hiyo? Inaelekea upo loose loose sana.....wacha akuendeshe na akunyooshe vizuri.
 
Jiangalie mwenyewe kwanza unajimudu, kama ndio tafuta mwingine na kama yeye ndio mke mume bora ule anacholeta, vumilia sbb ukileta fyee utalalanje, nahuyo humwezi kashakua mjanja.
 
Mume wa waziri aje kuomba ushauri JF?! Labda waziru wa wasafi au manzese maanake nasikia wasafi wana rais manzese pia.

Unaidharau JamiiForum?
Kwa Taarifa yako humu mna mawaziri Kibao !
Pia kumbuka kuna wakati Waziri wa Nyumba na makaazi Mama Tibaijuka alikuja 'waziwazi ' tukamshauri kuhusu mji mpya Kigamboni.
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Wewe ni kada lakini siyo mume wa mh. waziri.
I am a single mum with 2 kids ila siwezi kukuamini maana una inferiority complex.
Note1: kuna post yako humu unauliza mume wa Ester Bulaya, X kada wa ccm.
Note2: eneza sera za chama dodoma tuelimike achana na mademu
 
Unaidharau JamiiForum?
Kwa Taarifa yako humu mna mawaziri Kibao !
Pia kumbuka kuna wakati Waziri wa Nyumba na makaazi Mama Tibaijuka alikuja 'waziwazi ' tukamshauri kuhusu mji mpya Kigamboni.
Yupo namjua Waziri wa Mambo ya Ndani, Habari ila hawawezi kuja kuomba ushauri wa kipuuzi kama huu,in fact wewe unaefikiri kuna Waziri atskuja na thread kama hii ndio unawadharau.

Na wapo humu kwa ID verified za kwao.
 
Wewe acha kudanganya watu hapa, huyo waziri unaye sema mkeo, sio mkeo alikuwa kimada wako, ulikuwa unalelewa, We si kada wa CCM mtiifu, unaitwa LAMU ELIZAYO PASCHAL, Acha kubweteke fanya kazi ndugu, amekupangia nyumba pale Mikocheni, amekupa gari, shoping ya mavazi n.k kwa lengo la kupiga mechi vizuri, wewe umeridhika na kuanza kuota kitambi, mechi huwezi tena. Tayari Waziri kapata Kijana mwingine anamkanda vizuri kuliko wewe, we endelea kuisoma namba.
Mmmmhh majanga jamani
 
Hakuna mme wa waziri mwenye akili punje kama zako. Wewe mkeo ni muuza bar. Mvumilie tu wateja wenyewe wa manati siku hizi. Akichelewa ina maana siku hiyo alibahatisha wateja.
Unajibu kwa kupanik ili iweje

Huna cha kuchangia pita tu kama matatu
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...
Mawaziri wanawake wa awamu hii ambao awamu iliyopita pia walikuwa mawaziri ni wa wangapi?
 
Usilalamike bro kuongoza wizara ya elimu sio mchezo....naomba umwambie wife atukumbuke kwenye mkopo bhna life la chuo gumu sana
 
Baba kula maisha achana na habari za wivu! Tumia pesa zake kutafutia furaha, siku akimaliza hatamu atarudi nyumbani akukute uko mchungu kama shubiri coz utamu wako watakua washauliza watoto wa mjini!
mkuu wanaume ni vigumu kukubali kuchapiwa mkeo hata kama anakipato kikubwa! Hata ukiwa na mchepuko ukisikia mkeo anagegedwa utaacha mchepuko utatoka mbio kufumania.
 
Mkuu naona nawe upigwe ubalozi kule Amerigo le Vicipucc sijui itakuweje sasa wife jamatin wewe santa pO!
 
Ndugu zangu,wote tunatafuta maisha na n kweli tunapenda pesa na kuendesha familia vzr.Shida tu n kwenye WIVU wa kimapenzi.

Hakai akatulia, kila siku anazurura tu kila kona mikoani na nje ya nchi na wakubwa wenzie. Ninapopiga cm au kutuma msg, anasema yupo busy full time.Lakini kwenye Whatsap muda wote simu yake ipo ONLINE.

Toka awamu iliyopita,mambo n hayahaya.Nilimfuata Dodoma kuna wakati nalala peke yangu,yeye yupo busy kwenye vikao vya chama na serikali mpaka usiku wa manane.Akirudi tu,simu inaita,anaondoka tena.

Nina stress wakuu.Sina raha ya kuwa nae,japo chochote analeta nyumbani.Ila dah..mpaka kilo zimepungua.

Naombeni ushauri jamani...

Pole sana mkuu najua jinsi unavyojisikia..jaribu kukaa nae chini uzungumze nae na umwambie madhara ya hicho anachokufanyia na pesa zina mwisho wake nafasi yako kwake haitapanda na kushuka kama mfumuko wa bei..itakuwa pale pale na utabaki kiwa mume tu na yeye atabaki kuwa mke uwaziri wake unaishia nje ya gate..maombi pia ni muhimu ndg yangu maana mapepo ni mengi kweli..pole kwa yote baba.

("Life is too short akizingua zaidi njoo kwangu bhana me mwenyewe natafuta mtu wa kunipenda akhuuu!!!")kiddin..mkuu kwenye hiki kijipoint
 
Ongea na bosi wake ili uteuliwe uwe mbunge then waziri nazani mtakuwa mnakutana ktk vikao vikao hadi nyumbani.Ikishindikana mwambie akuajiri uwe mlinzi wake.Ikishindikana kabisa mpe talaka 3
 
Chagua moja mke akae nyumbani mkose hela ama mpate hela ukose mke, over...
 
Back
Top Bottom