Recent content by ABDULLAH MSANGI

  1. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mv unamaanisha magnetic variation au?
  2. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kutengeneza masweta, kofia na soksi za watoto ndani ya mda mfupi ujiajiri!

    kwa wiki mbili je maweza kupata maelekezo nikarudi kufanya kaz zangu? na mashine naweza pata?
  3. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Huyu sugar mummy anatafuta kesi sasa

    mjusi gogoni
  4. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Kama vp we tupia swal lolote la map,photograph,research,statistics niko poa maeneo hayo au chek page yangu inaitwa contemporary geograph kwenye fb
  5. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Unaishi mkoa gani?kuna mti wa matunda kanda ya ziwa unaitwa masungwi haya ni matunda ni mwisho kijana unayachukua kama moja unalichoma kwenye moto linatoa maji unaweka matone mawili inawasha na kuuma ila baada ya hapa utasimuliaga tu
  6. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi elimu ya juu irejeshwe kwa tarakimu moja

    hakuna kitu kama hiyo bhana immidietly ukishaanza kupata mshahara wana wewe asilimia15% shaa
  7. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya wanafunzi elimu ya juu irejeshwe kwa tarakimu moja

    body ya mikopo walichonifanya najua na Mungu hakika niuonevu wa hali ya juu kwa kweli asilimia 15% imekula kwangu afadhali ingekuwa kostant basi kila mshahara ukiongezeka mkopo nao unazidi kujitanua hataree hii!
  8. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Unajua historia ya bendera ya taifa lako tangu 1885?

    Shida yangu naambiwa zipo rangi bluu,nyeusi,kijan,na manjano lakini nyeupe inayoshikilia kamba haupo kwanin ule utepe usingekuwa mweusi au wakijan?
  9. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Kwa kifupi ni kwamba , Nikki Wa Pili hujui kuimba

    sio siri river camp siwaelew hip pop yao kabisa mfano wimbo wa nusunusu sijawaelewa wapo madogo wanakinukisha bhana watoto wa kijenge juu na kijiti,G-nako naye kwenye hippop karibia tunampoteza,wapi ile mtu anaitwa Loon alifanya kolabo na ibra da hustler,mapacha
  10. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    hardwork pay
  11. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    verse gan inasema mkusanyike kwa kupiga kengele
  12. ABDULLAH MSANGI

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kama mumeo "ha-cheat" ni bora unyamaze kimya na umshukuru Mungu..

    99.999999% tumesema ndiyo
Back
Top Bottom