Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Wale Waliosoma Account Chuo Nashida Na Notes Za International Finance?
 
Help me there
FB_IMG_15240848799045698.jpg
 
mimi nauliza shairi la kimapokeo linakuwaje na je vina vya kati na mwixho vinaweza vikafanana? Mfano: tuwe nao ukarimu, amani pendo nidhamu.....? Midhani ipo nane kama kawaida kasoro vina kufanana!
Walimu vp swli alina jibu au??
 
mkuu unamaanisha aina za barua au muundo wa barua.kiuhalisia kuna aina nying sana za barua,kuna friendly letter/personal letter,official letter,letter to the editor na nyinginezo nying.lakin hizi barua zina miundo/muonekano wake katika uandishi,hii miundo ipo ya aina mbili kuna old formart na modern/block format.
Hizo old format na modern format zikoje kimuonekano mkuu
 
Back
Top Bottom