Recent content by Abdull Bawazir

  1. Abdull Bawazir

    Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    1. Build a Niche Blog (or Website) and Use Affiliate Marketing 2. Launch and Grow a Startup 3. Build and Sell Software 4. Start an eCommerce Site and Sell Physical Products 5. Find Freelance Clients and Sell Your Services 6. Start Online Coaching and Sell Your Advice 7. Create Online Courses to...
  2. Abdull Bawazir

    Tupeane mbinu mbalimbali za kuwadhibiti nyoka wanaoingia majumbani mwetu

    Umenikumbusha tukio moja sitosahau ilikua usiku kama saa tano tunatembea kwa miguu na mgeni nilietoka kumpokea kutoka kijijini tukiwa tunatembea ghafla akakatiza nyoka mbele yetu akitoka upande mmoja kwenda mwingine nikaingia na taharuki hata mawe sikuyaona nilipogeuka nyuma ili nipate hata jiwe...
  3. Abdull Bawazir

    Wafahamu waarabu/usiyoyajua kuhusu waarabu

    Wapo wengi kuliko unavyowaza. Ipo miji leo imebaki na watu weusi tupu na weupe wachache sana.
  4. Abdull Bawazir

    Ushauri: Nimelogwa au ni upendo?

    Sijasema awe na roho mbaya don't quote me wrong. Ila jamaa mm nimemuona mpole sana hivi ww unaweza anavyoweza mleta mada? Mtu anakwambia hakutaki wewe upo tu mtu ana mtu wake na hakufichi upo tu anakwambia bhana jaribu kunisahau anakuja kulalalamika hawezi ameshajaribu sana ameshindwa ww unataka...
  5. Abdull Bawazir

    Ushauri: Nimelogwa au ni upendo?

    Honestly hiyo Hali ya kuwafanya wanaume wateseke kwenye mapenzi mm sijakutana nayo na siombei initokee mara zote nimekua nikiumiza wanawake sio kuumizwa japo siku hizi siwaumizi tena nimeshakua ila nilichokuja kugundua kwenye ukuaji wangu wanaume ambao huwa hawajali sana ndio hupendwa sana...
  6. Abdull Bawazir

    Kwanini Wanaume wengi wanaofanyiwa ' Umafia ' huu hukimbilia Kujiua / Kujinyonga?

    Siombei yanitokee na kwanza sio mpenzi wa wake za watu ila likinikuta hilo kwa namna yoyote ile ndio watakua wamenibadilisha roho heri kufa nao kuliko kufa peke yangu nitapotea kwanza hawatojua nimeelekea upande gani wa dunia siku nitakayoonekana ni mahakamani kukiri kosa la mauaji au kuuliwa na...
  7. Abdull Bawazir

    Kijana aliyeokoa mtoto Ufaransa achague lipi? Je ungekuwa huyu kijana ungechagua lipi?

    Kuwa kikosi cha zima moto Paris ni bora kuliko kuwa mwanajeshi Mali huko Paris atashinda miezi mshahara ukiingia bila kazi zaidi ya ku sign in na kusign out akirudi Mali atajuta. Ningekua mm hata uniwekee bastola kichwani sirudi bob.
  8. Abdull Bawazir

    Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    White Skin Black Hearts, Black Skin White Hearts.
  9. Abdull Bawazir

    January Makamba na stori ya safari ya Jamaica, anamaanisha nini hapa?

    Jamaa anajua kujichanganya ukikaa nae dakika tano utasahau kama upo na kiongozi na utagundua how intelligent he is watu wote kwake sawa sio mkristo sio muislam sifa zake ni nyingi siwezi maliza zote, I like him. Mungu amsaidie aje awe raisi.
  10. Abdull Bawazir

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    [emoji23] [emoji23] embu toa jibu wewe kaka mkubwa tumekupa mji, haiwezekani watu wote tukose[emoji30]
  11. Abdull Bawazir

    Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

    Mnaacha mashoga mnacharaza viboko wanaovaa suruali za kubana na wanaonyoa viduku hii sio ya kufurahia hata kidogo. Kunyoa kiduku sio ushoga wala kuvaa suruali ya kubana sio ushoga nani ametoa hilo wazo?
Back
Top Bottom