Dah! Punguza jazba aise nimeuliza tu swali ili niwajibu wakereketwa wake sijasema lolote kuhusu mahaba wa mapenzi (kwani taarab hii?) Wewe ndo utoke na akili yako finyu iliokosa hoja. Shame on you.
Wana JF,
Hivi karibuni nimesikia wengi wakisema ya kwamba Lowassa alionewa kwenye mchakato wa kutafuta mgombea ndani ya CCM kwa sababu hakuingia tano bora ili "kupambana ulingoni" na kwamba waliomuonea walifanya hivo kwa maslahi yao na kwamba Lowassa hana kasoro au shutuma za rushwa...
Out of Point kwani yeye ni nani wa kusema hivo? Mimi nimetoa prediction yangu na yeye basi atoe yake. Msomi siku zote anaheshimu maoni ya wenzake. He can take his judgement and have it with tea!!
My prediction:
1. Mizengo Pinda
2. Mohamed Gharib Bilal
3. Bernard Membe
4. Asha Rose Migiro
5. Augustino Ramadhani
This is the list of merit, fikiria!
Ndugu mbona hio list nina mashaka nayo?, mbona MOSTLY naona wahindi tu na waarabu wawili watatu sioni mwanasiasa yoyote au mfanyabiashara maarufu? Your list looks very flimsy.
Dah kama Zitto hakutoa majina leo basi nimemdharau sana.
Sad.
Wana JF,
Ni muda sasa tangu niandike thread yangu mwenyewe ila leo naomba hoja, tumeona mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM na safari hii pia tumeshuhudia rekodi ya wagombea na hii bila shaka ni alama nzuri kidemokrasia ila nataka kujua, nani ndio mgombea bora?
Tumesikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.