Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

hawezi kutoka CCM ili alinde maslahi yake OVER!! akitoka watu kumbuka wanayo mafaili yake hilo ndo kosa ninalokukumbusha kwa mara lingine EL alilifanya ni bora angekubali kesi ya Richmond iingurume mahakamani
 
alikatwa zitto ukasema sababu ya uchaga na udini amekatwa lowasa sababu ni ukristo na ukaskazini

Nduguyangu nadhani ile dhana ya ubaguzi na udini imejionyesha sasa,Ccm ndio waasisi wahayo na ndio maana hata wale Vijana wa bagamoyo walisema kwamba Rais hawezi kutoka Kaskazini.Naludia kusema tu kwamba nawashangaa na ntaendelea kushangaa mtu wa mikoa ya Kagera,Kigoma,Mbeya na Kaskazini kuendelea kuwa Ccm
 
jamani wataaram wa kiswahili maana ya matumain ni nini? Au mtu ukiambiwa anaishi kwa matumain ni picha gani ina run ktk ubongo wako sasa unapoambiwa safari ya matumain je ni safari ya aina gani hiyo ?
 
Pasco ungepumzika for now
sioni kama una make sense anymore
kila ulichotuambia huko nyuma kimeenda the opposite
labda sasa ungenyamaza kwanza.......ni kama vile nyinyi wapambe wa mgombea
mna kiu na urais kuliko mgombea mwenyewe

Ningekuwa sijafunga ningekualika Mpwa tukapate mdudu. Well said. Thanks
 
Last edited by a moderator:
Bw Pascal simchukii mtu wako lkn nakumbuka nilikuambia hapa CCM wakimsimamisha nitawashangaa sana!lakini kuna dalili ya mtu wako kuandika historia!Mtakatifu Julias Nyerere UTUOMBEE!!
 
haraka sana lowassa wewe ni jiwe kuu,njoo ukawa na team yako.Tushinde vita hii.
 
Lowassa ameonewa kabisa,huyu bwana anafanya siasa za kimataifa kabisa kama marekani,tunaona wagombea wa urais marekani wanaanza harakati zao ndani ya chama muda mrefu sana na kujiandaa vyema...lakini kwa ccm siyo.yaani unamtaka yule ambaye atawafumbia macho....katika kundi hilo waote pale maamuzi yao yanatabirika....lowasa pekee ndiye alikuwa maamuzi magumu ambayo wakuu wa ccm hawapendi.....

Namshauri Lowassa.....nenda upinzani hasa Ukawa maana wana fremwork saffi.....ushinde urais...utapata kura za kumwaka ambazo watashindwa kuiba.

Amefanya siasa za Marekani akasahau kuwa yuko Tanzania hahahaaa let him rest in "piece "
 
muungwana hanuni kwa mashavu hununa moyon kubalin yaliyotokea team lowasa.Kama hamtaki hamen chama hiyo ndo njia pekee ya kuonesha kutokubaliana na yaliyotokea
 
Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.

Hivi wewe unaongea nini??? Kama huna hoja funga mdomo wako!!
 
pasco anahangaika kweli....huwezi kupanga uhaini kisha ukabaki salama
 
Mengi,rostam,karamagi,chenge,kingunge,walifikiri wao ndo wenye hii nchi pumbavu zao wakamfadhili fisadi mwenzao,,,magufuli.baba chukua nchi achana naaya majinga....
 
Nyerere aliwahi kusema ni heri mbuzi kuwa mgombea wa CCM kuliko mkristo kuwa raisi wa Tanzania, hii imetimia. Majina yote 5 yaliyo chaguliwa CCM ni uislam mtupu. Tumechoshwa ni team uislam ndani ya CCM, mahamuzi magumu yanaitajika sasa.

Bora ya magufuli!! lakini hao wengine wakipitishwa upinzani wanachukua nchi
 
Back
Top Bottom