Kwa hesabu hizi CHADEMA/Lowassa hawatashinda ng'oo

Kwa hesabu hizi CHADEMA/Lowassa hawatashinda ng'oo

Status
Not open for further replies.

Mugisher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
411
Reaction score
360
Wanabodi,

Nimeangalia mchakato wa kura za maoni za CHADEMA na nimeona vitu viwili ambavyo Kwangu ni conclusion ya kuwa Lowassa atashinda uchaguzi unaokuja kwenye ndoto zake na za wale wawili aliowanunua, yaani Mbowe na baba mkwe wake.

1. Ukiangalia wajumbe waliojitokeza kwenye kura za maoni za CCM unaona wamejitokeza kwa maelfu kwa maelfu. Mtu mmoja anapata kura elfu ishirini. Sasa kwa CHADEMA wajumbe idadi Yao ni Mia. Nimeangalia mtu Kama Ester Bulaya anapata kura 30 na kitu. Sasa swali jepesi kura za CHADEMA zitatoka wapi Kama sio kuanzia kwa wanachama wake kwanza?

2. Shauku na furaha ya wanaccm iko wazi na inaonekana kwenye nyuso zao kwenye mchakato huu. Lakini haikuwa hivo kwa cdm. Wao furaha yao ni kwa lowassa as if yeye ana kura za maelfu. Hii observation kwangu inaonesha ccm wacko 'charged up' kwa ajili ya mtanange wenyewe Oktober.


Sasa kwa hayo CHADEMA Haina hesabu za kushinda uchanguzi huu. Wenyewe wako caught up na excitement ya Lowassa na kusahau yakuwa, hamna mtu aliyena uhakika Lowassa ana kura ngapi hasa nyuma yake.
 
Hivi unajua wanaopiga kura chadema ni wajumbe maalumu na wanaopiga ccm ni wanachama....hata chadema wangepiga wabachama ungeona mafuriko ya watu
 
We unajua chadema ni watu gani wanapiga kura za maoni?
 
Unasemaje kuhusu wadhamini mil 1.6 wa Lowassa
 
Ulipaswa ukafatilie taratibu za kila chama katika upigaji kura za maoni ndio uje humu
 
Wewe haujui wanaopiga kura cdm ni wajumbe tu,tofauti na ccm ambapo wanachama wote wanapiga kura
 
Hili bandiko lako linamuongezea kura kiasi gani mgombea wenu(Magufuli) mnawapa umaarufu chadema na ukawa kila anayeanzisha uzi ni chadema na ukawa.
 
Psssssiiiii nyamaza tumle kima taratibu usiwastue
 
wanabodi na mazombie,

nimeangalia mchakato wa kura za maoni za cdm na cdm na nimeona vitu viwili ambavyo kwangu ni conclusion ya kuwa lowassa atashinda uchaguzi unaokuja kwenye ndoto zake na za wale makuhani wawili aliowanunua, yaani mbowe na baba mkwe wake.

1. Ukiangalia wajumbe waliojitokeza kwenye kura za maoni za ccm unaona wamejitokez kwa maelfu kwa maelfu. Mtu mmoja anapata kura elfu ishirini. Sasa kwa cdm mazombie wajumbe idadi yao ni mia. Nimeangalia mtu kama ester bulaya anapata kura 30 na kitu. Sasa swali jepesi kura za cdm zitatoka wapi kama sio kuanzia kwa wanachama wake kwanza?

2. Shauku na furaha ya wanaccm iko wazi na inaonekana kwenye nyuso zao kwenye mchakato huu. Lakini haikuwa hivo kwa cdm. Wao furaha yao ni kwa lowassa as if yeye ana kura za maelfu. Hii observation kwangu inaonesha ccm wacko 'charged up' kwa ajili ya mtanange wenyewe oktober.


Sasa kwa hayo cdm haina hesabu za kushinda uchanguzi huu. Mazombie wako caught up na excitement ya lowassa na kusahau yakuwa, hamna mtu aliyena uhakika lowassa ana kura ngapi hasa nyuma yake.

umeongea jambo la maana sana na pongezi kwako, achana na hawa vipofu na vijembe vyao...wakale malimao!!
 
Unajua kilichotokea au unaongea ushuzi? mm ni chadema/ukawa damu damu, jana nilifuatwa na mgombea wa CCM hapa kwangu akanipa sh. 30000 na nikapewa kadi ya CCM Mpya kwanba leo nikapige kura nimchague...nikachukua na nikaenda kumpigia kura na ameshinda...sasa huyu unadhani utashinda october?
 
unajuaje pengine kura za chedema zitatoka huko huko kwa nyinyiem :car:
 
CCM wamekuwa well organised na motivated. Hii SACCOS ya ufipa inabaki kwenye mifuko ya fisadi Lowasa tu
 
Lazima wapate kura nyingi waligawa hela na kadi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom