AbdulKensington
Member
- Oct 21, 2008
- 72
- 6
Wana JF,
Ni muda sasa tangu niandike thread yangu mwenyewe ila leo naomba hoja, tumeona mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea Urais kupitia CCM na safari hii pia tumeshuhudia rekodi ya wagombea na hii bila shaka ni alama nzuri kidemokrasia ila nataka kujua, nani ndio mgombea bora?
Tumesikia "flani hafai" kwa hio nani anafaa kupeperusha bendera ya CCM? Ni yupi ana afadhali kwako?
Ni hilo tu,
Ahsanteni