Recent content by ABDULKARIM PAZI

  1. A

    JamiiForums Tanzania S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    ishu bro hiyo miliki no ya wati sita yeye anamdai mtu mmoja katoka ipitie vyema hukumu ya mahakama!
  2. A

    JamiiForums Tanzania S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    Muliza swali ameulza swali lake nje ya mada wewe unajibu mada wakati mnada haukuendeshwa na bank na si hvyo point za wadai
  3. A

    JamiiForums Tanzania S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    kwani alipokuwa anabomoa jengo la awali mpka kujenga alikuwa amekubalianana na nan kujenga kwenye kiwanja cha watu
  4. A

    JamiiForums Tanzania S.H Amon apoteza jengo la ghorofa nane Kariakoo

    ww ndio unaijua sana sheria
  5. A

    JamiiForums Tanzania *Wanyonge kweli hukosa haki kwa kutokuwa na subra na kutokuwa na pesa*

  6. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

    Hali tunatafuta watanzania,eti nani katoroga!!
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mwanangu wa miaka 9 amekutwa na Virusi vya UKIMWI, sijui amevitoa wapi?

    mungu katunusuru mengi utotoni,ilikuwa mwenzio kaumia akitoka damu ili kuzuia damu isitoke ilikuwa unainyonya damu!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Watoto zao wana soma bure
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mzungu atoa ushuhuda alivyolala na wanawake weusi 1400 ndani ya miaka 2 waliokuwa wakijipendekeza kwake

    you r HIV negative,but you have so many bundles of sins to your GOD
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kati ya urafiki wa nyoka na mtoto mdogo?

    Nimepata kusikia story hii kwa muda mrefu, mwisho leo nimeona mahali pameandikwa kwamba nyoka amgonga mtoto mdogo baada ya wazazi kutaka kumuua nyoka huyo, inasemekana nyoka huyo alikuwa akicheza na mtoto kwa muda kabla hata wazazi kugundua kuwa alikuwa akicheza na nyoka lakini ghafla wazazi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini ku-print ni bei kuliko kutoa kopi?

    Kuna tofauti kubwa katika function ya kuprint Na copy Na kwa njia rahisi ukitaka Kujua printing inatumia wino mwingi kuliko copy ni pale unapoprint background picture/text ukiprint ni dhahiri background itatokea vzuri lakin ukitoa kopy Haitotoka hiyo background hili watalifahamu wenye uzoefu wa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Aslay na Nandi Mmeuharibu wimbo wa "Sabah-al-kheir mpenzi"...

    Wimbo wenyewe mkubwa kuliko waimbaji
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Aisee nimesoma kwangu tauni huko mchikini nilikuwa nakusikia tu,Siku ambayo niliamua nianze kwenda kusoma ndio Siku ambayo pindi lilihairishwa si kwenda tena mpaka namaliza shule
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali ya Kenya asema Kenya haina shida na matamshi ya Donald Trump 'SHITHOLE'

    We Jamaa ndo msemaji wa white state,mbna unatetea mno kauli za udgalilishaji hivyo,inahtajka uchukie hata awe hajasema au amesema,kiongozi mkubwa kama yule haitajiki kusikika tetesi za kijinga kama zile,hv husomi vitabu vya dini kwamba bwana kaesar alimuacha mkewe kwa tetesi ya uzinifu,ijapo...
Back
Top Bottom