Recent content by Abdulhalim

  1. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Mbagala: Kampuni ya MOFAT imetuma ombi LATRA kuziondoa Daladala

    wenzetu walioendelea wana trams na subways lakini mabasi bado yapo yanayosimama kituo hadi kituo. hapo nnachokiona mimi ni upigaji dili tu, kwn madaladala wao mabasi walipewa bure? si biashara kama hao Mofat? kwn daladala waliomba kutumia njia za brt? maoni yangu ni kuwa wacha biashara iwe...
  2. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    agribusiness hazilipi tena au zilikua shobo tu?
  3. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    kwn ali msomali na assan joho wanasemaje kuhusu hii mada?
  4. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Kasema Robo tu! Asee, sema yote - umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi

    Anzisha na wewe series yako. Usidandie za wengine mkuu.
  5. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    Na wewe anzisha series yako mkuu. hii ya Polepole iache season one iise kwanza.
  6. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania PolePole kuzungumza na Umma kesho tarehe 1/9/2025 saa 3 usiku.

    sasa kilaza mimi nimeelewa kwanini mwendazake alijinunulia gari la kujam vilipuzi akiwa anabarizi ktk vitongozi vya jamhuri yetu ii tukufu
  7. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Makato NMB mkononi to Lipa namba

    soma tena ulichokinukuu
  8. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Hakimu: Haijathibitika kama Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres–Dar alilawiti; “ushahidi hauoneshi mtoto kupiga kelele”

    Kwa staili hii ipo haja ya kumalizana na wabaya wetu kimyakimya au kwa kalumanzila
  9. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Makato NMB mkononi to Lipa namba

    unajitoaje mkuu? maana nahisi wametuingiza bila ridhaa
  10. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

    mbegu ya chuki mnayoipanda mtaivuna very soon
  11. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

    lengo likiwa ni nini?
  12. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    haya ni mawazo ya kichawi
  13. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Unataka kufanya uwekezaji basi wekeza huku

    walishafunga kitambo sana..naona mleta mada ana malengo yake ambayo hajayaweka wazi.
  14. Abdulhalim

    JamiiForums Tanzania Peter Msechu aelekea Juba, Sudani ya Kusini

    Kwani taarifa ya kifo imethibitishwa?
  15. Abdulhalim

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano Kati ya kufika kileleni na ukubwa wa maumbile

    majibu ya maswali mengine yanapaswa kutolewa na horsemouth, not by assumptions
Back
Top Bottom