Recent content by ABDONA

  1. ABDONA

    KNEC yasema cheti cha Sekondari cha Gavana Joho ni feki

    yeah, lazima waige toka Tanzania, our country is a role model in east africa
  2. ABDONA

    USAIDIZI WA RESEARCH KWA WALIO VYUONI

    kweli kabisa mkuu ndo maana tunasaidia watu wenye matatizo kama ulivoainisha
  3. ABDONA

    USAIDIZI WA RESEARCH KWA WALIO VYUONI

    hapana hakuna uhuni hapa vitu kama stata na R they are complex programs ambazo lazima ufundishwe
  4. ABDONA

    USAIDIZI WA RESEARCH KWA WALIO VYUONI

    hapana mkuu tunaelekeza tu hatumfanyii mtu
  5. ABDONA

    Research Consultancy(Usaidizi wa report na data analysis)

    hapana mkuu hapa ni kuwaelimisha tu research methodology, hata hivo vitu kama spss, stata na R lazima mtu usomeshwe bahati mbaya masters nyingi hazifundishi hizi software japokua ni muhimu kuzijua wakati wa kufanya research yako
  6. ABDONA

    USAIDIZI WA RESEARCH KWA WALIO VYUONI

  7. ABDONA

    Nyumba inapangishwa-Kitunda Mwanagati

    shilingi laki nane mkuu(800, 000/=) kwa mwezi
  8. ABDONA

    Nyumba inapangishwa-Kitunda Mwanagati

    Nyumba hii ni ya nyumba 4 viwili master bed rooms na viwili vya kawaida. ina choo cha public, sebule, jiko na store. pia iko kwenye kiwanja kikubwa kama mnavojua viwanja vya mwanagati sio uswahilini ni kama masaki ndogo. kwa mawasiliano piga 0765 75 1003
  9. ABDONA

    Usaidizi wa Research

  10. ABDONA

    SOFTWARE Research Consultancy

  11. ABDONA

    Dovutwa: Mbowe ni hatari kwa uhai wa vyama

    safi kabisa. tungekua na upinzani unaojitambua kama huyu dovutwa kungekua mbali kimaendeleo
  12. ABDONA

    ACT kuipiku CHADEMA hii imekaaje

    CHAMA cha ACT-Wazalendo Wilaya ya Shinyanga Mjini kimetamba kuwa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, ndicho kitakuwa mpinzani mkubwa wa CCM badala ya Chadema. Katibu wa ACT-Wazalendo, Wilaya ya Shinyanga, Melkyoli Sebastian alisema hayo baada ya kumuingiza kwenye chama hicho, kada wa Chadema...
  13. ABDONA

    Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais CHADEMA, Juma Duni Haji amerejea CUF huko Zanzibar

    Eti "Amerejea CUF leo" Kwan nani alikwambia Juma Duni aliondoka CUF?, Yaani kwa akili yako unadhani CUF helehele anaweza kujiunga na CHADEMA?
Back
Top Bottom