USAIDIZI WA RESEARCH KWA WALIO VYUONI

ABDONA

Senior Member
Aug 2, 2015
119
26
upload_2016-12-30_17-24-12.png
 
Mimi hizi huduma za hivi huwa sizipendi kabisa! Kwanini mnawaharibu wasomi wetu aisee, acheni vijana wajifunze kujitegemea. Sasa ukimfanyia mtu propasal development, ukamdizainia questionnaire ukamfanyia data analysis ukamuandikia report ni wewe ndio unakuwa umefanya hiyo project au yeye? Acheni kutumia hizi fursa kuua elimu jamani.

Jikiteni kwenye hayo ya kufundisha excel na mengineyo
 
Hawa ni wahuni wanahujumu akili za vijana na elimu. Sasa MTU akidhafanyiwa atajifunza lini kufanya research. Hawa ni wahuni
 
hii mbaya..ila nzuri kwa mtu ambaye research anaona kwake mzigo!! na hana future nayo!..itampotezea muda kama hana moyo wa kujifunza na kuelewa
 
Chuoni kwetu walianzisha system ya kudefend proposal na research, inasaidia sana.

Kinachosababisha wanachuo watake kufanyiwa ni kwa kua unaweza kuta lecturer haeleweki leo anataka hiki kesho hiki anakipinga cha jana.

Inservice ndiyo wanaongoza kwa kufanyiwa research.

Na baadhi ya vyuo havina research kama somo hvyo inakua ngumu kwa mwanafunzi kujua aanze wapi na aishie wapi.

Pia muongozo wa research unaweza kuta haujaandaliwa na kupelekea research nzima kuwa na utata katika kuifanya.
 
Kuna asiyekuwa na research mkuu? Hata kuandika report utakwepa kweli?
 
How could someone even think of posting some fu* illegal business over here!? am afraid people are now going mad. this should never be entertained
 
Chuoni kwetu walianzisha system ya kudefend proposal na research, inasaidia sana.

Kinachosababisha wanachuo watake kufanyiwa ni kwa kua unaweza kuta lecturer haeleweki leo anataka hiki kesho hiki anakipinga cha jana.

Inservice ndiyo wanaongoza kwa kufanyiwa research.

Na baadhi ya vyuo havina research kama somo hvyo inakua ngumu kwa mwanafunzi kujua aanze wapi na aishie wapi.

Pia muongozo wa research unaweza kuta haujaandaliwa na kupelekea research nzima kuwa na utata katika kuifanya.
Umezungumza point sana, lakini kwa jinsi ya hili tangazo ni bora wakasema wanawafundisha namana ya kuandika proposal, namna ya kufanya literature review, namna ya data analysis, and report writing na sio kumfanyia.
 
Hawa ni wahuni wanahujumu akili za vijana na elimu. Sasa MTU akidhafanyiwa atajifunza lini kufanya research. Hawa ni wahuni
hapana hakuna uhuni hapa vitu kama stata na R they are complex programs ambazo lazima ufundishwe
 
Chuoni kwetu walianzisha system ya kudefend proposal na research, inasaidia sana.

Kinachosababisha wanachuo watake kufanyiwa ni kwa kua unaweza kuta lecturer haeleweki leo anataka hiki kesho hiki anakipinga cha jana.

Inservice ndiyo wanaongoza kwa kufanyiwa research.

Na baadhi ya vyuo havina research kama somo hvyo inakua ngumu kwa mwanafunzi kujua aanze wapi na aishie wapi.

Pia muongozo wa research unaweza kuta haujaandaliwa na kupelekea research nzima kuwa na utata katika kuifanya.

kweli kabisa mkuu ndo maana tunasaidia watu wenye matatizo kama ulivoainisha
 
Hii shida inaletwa na lecturers / supervisors wenyewe ..uwa wanazingua sana,pia wengi wao hawatoi muongozo mzuri wa kumfanya mtu aweze kuandika mwenyewe..so watu wanaamua kutafuta msaada ..
 
Back
Top Bottom