Mambo mengi mabaya yanayotokea na ukosefu kushindwa kupiga hatua katika maendeleo kama nchi ukiwauliza viongozi wa taifa, Viongozi wa siasa, na wasomi utawasikia miongoni mwa sababu nyingi wanazozitoa moja wapo itakuwa ni kukosa Uzalendo na kuipenda nchi.
Uzalendo ni nini?, ni nani ana wajibu wa...