Rais wetu amelewa madaraka, amesahau kuwa yeye ni Rais wa Watanzania

8f18e1a55a6a6c78485410f0d546d316.jpg
 
Ni rais wa watanzania sio rais wa instagram...

Hilo mlijue....sio mnatoa udaku instagram kwa yule binti halafu mnaugeneralise
 
Hivi mmelishwa wote limbwata au nini?? Yaani unatetea ujinga bila aibu
wewe una akili timamu, taifa linakutegemea so it's high time you started discussing real issues,, kupoteza chaji, bundle, muda na nguvu zako ku attack personalities na kuchukulia negatively kila asemacho Rais trust me haitokusaidia kitu.. sana itakuuguza presha. what would u have done with regard to this saga would u have been the President? kufundishwa kazi na kila mtu inaudhi usisikie
 
jamaa anachemka sana sidhani kama hata ndoa tuu anaweza kuiendesha huku kwenye Uongozi wa juu Tumempa majukumu makubwa sana sana na akiona vifaru na manyota yote wanamlinda yeye basi kila kukicha kugonga kifua mimi,mimi wewe nani bwana bila majeshi haya ungegonga kifua hicho...
 
tutunze sound record zake kwa audio ili 2020 anavyoomba kura tulinganishe na matamko yake anayotoa sasa. eti fomu nilichukua mwenyewe na hizo kura alijipigia mwenyewe?
Kama ishu ni kuchukua fomu basi wote wangekuwa marais, ni ujinga na ulevi wa madaraka uliopitiliza!
 
Biblia ninayosoma inasema "HAKUNA MAMLAKA ISIYOTOKA KWA MUNGU"

~Nini namaanisha,kwakuwa tulio mpa kura ni ss na tulio mnyima kura ni sisi pia na tulio omba Mungu ni ss pia.basi tufanye hivi.

~Wana wa Israel waliomba kwa Mungu mfamle,Mungu akawapa na walipo pata,yule mfalme aliwasumbua sana wakafanya yafuatayo.
1.Walinyanyua macho juu na kumuangalia Mungu.

2.Walimwomba Mungu awaambie wamekosea wap.

3.Walipo gundua kosa walitubu kwa machoz tena hawakutupiana mpira kua nani alimchagua nani hakumchagua ila alikuwa mfalme wa wote hivyo wote walitubu.

4.Wakamwambia Mungu awape mtu mwingine badala yake na Mungu alifanya.na walimshukuru kwa matendo makuu.

5.Ss km panauma ingie kuomba ni ngum kwa taifa kuomba kwa paomjo lkn kila mti kwa dini yake,imani yake,na amwombe Mungu.Mungu anatusubir tunachukua hatua gan???

~Kwakua tumenyamaza nae kanyamaza YAKOBO 4:8 "MKARIBIENI MUNGU NAE ATAWAKARIBIA NINYI.ITAKASENI MIKONO YENU ENYI WENYE DHAMBI,NA KUISAFISHA MIKONO YENU ENYI WENYE NIA MBILI".
 
Wee chadema wewe jitulize bana. Fanya kazi ya maendeleo achana na porojo za kila siku mitandaoni. Kubali tu kuwa mlipigwa. Usipoteze muda mwingi kujadiri udaku. Piga kazi.
Hiyo piga kazi mgekuwa ccm vichwa vyenu havina gongo km pombe basi hata hizo ajira wala msingezifuta.
Adui wetu wa maendeleo 1. CCM 2. UMASIKINI, 3. UJINGA 4. MARADHI
Chama cha Bashite
 
Kwaiyo hata kama mmempigia kura ndio mna haki ya kumtafutia nani awe anafanya nae kazi na nani asiwe anafanya nae kazi?
Kama mlitaka busara ile siku ya kwanza msingetoka nje ya bunge mkasusa.
Kususa ina maana mmemuachia na hamtoshirikiana nae.
Na kama mna ubavu subirini 2020 ila kwa kashasema mlie mgale gale yeye ndio rais na yeye ndio mwenye mamlaka ya kuchagua.
Mwisho endeleeni kupiga kelele mtanyamaza tu.
We mbwa si kila anayemkosoa huyo mzee kupata ni chama cha upinzani.mavi yako
 
wewe una akili timamu, taifa linakutegemea so it's high time you started discussing real issues,, kupoteza chaji, bundle, muda na nguvu zako ku attack personalities na kuchukulia negatively kila asemacho Rais trust me haitokusaidia kitu.. sana itakuuguza presha. what would u have done with regard to this saga would u have been the President? kufundishwa kazi na kila mtu inaudhi usisikie
Hata hivyo hao ndio wenye nchi yao hata kama ni wajinga. Nyerere alipogundua kuwa watu wake bado ni wajinga na waoga akalizimisha uwepo wa vyama vingi na kuzuia madini yasichimbwe na wageni.
 
Back
Top Bottom