Lissu upo wapi sheria ya uhuru wa vyombo vya habari inakandamizwa?

abdallahtase

Member
Aug 20, 2013
37
17
Linaloendelea katika mjadala kuhusu uvamizi wa Clouds na Serikali kuwa na kauli tofauti. Nahitaji kusikia ukweli na sheria kutoka kwa Rais wa chama cha wanasheria. Huwa napenda kumsikiliza Lissu hasa katika mambo tata.
 
Uongozi sio matamko kaka, kuna kushauriana, kuongea kupitia diplomatic channel inaposhindikana ndio matamko.

Pili tuliona waziri alikwenda jana na akaunda timu so pale waziri atakapomumunya maneno au kwenda kinyume cha tulichoaminishwa ndio hapo utakaposikia matamko.

Huo ni mtazamo wangu
 
Lissu akitoa tamko lazima akamatwe kwa hiyo anajiandaa kwanza vizuri ndiyo anatoa tamko halafu anaenda dodoma anasubiri kukamatwa na kuletwa dar, akifika dar anapewa dhamana anaendelea na shughuli zake, sasa hivi sijui ana kesi ngapi za kubambikiwa, na zote atashinda kwa Kata funua
 
bcb4b8c44515103959fc268e5892e7f0.jpg

mmeshakunywa chai?
 
Hivi huwa kuna chama cha wanahabari (waandishi na watangaza habari)
Sijsikia tamko lao wakati tunaambiwa watakanzaji walivamiwa na kupingwa mieleka na vitako vya bunduki.
Au wao tamko lao huwasilishwa na wamiliki wa vyombo vyao?
 
Kipo Mkuu.. Na wamesema iwapo mamlaka yake ya nidhamu haitamchukulia hatua, basi watamchukulia hatua ikiwamo ya kumtenga katika kazi zake.. Hiyo maana yake katika shughuli zote hakutakuwa na waandishi wa habari (labda wa chama na serikali peke yao).. Unakumbuka alivyofanyiwa aliekuwa waziri wa mambo ya ndani yule mzenji.. Alisusiwa kuandikwa habari zake mpaka raisi akaamua kumtoa uwaziri na kumpeleka ubalozi China..

Hiyo ndo nguvu yao.. Nategemea wataitumia kumsaidia mtukufu kufanya maamuzi..
 
Hivi huwa kuna chama cha wanahabari (waandishi na watangaza habari)
Sijsikia tamko lao wakati tunaambiwa watakanzaji walivamiwa na kupingwa mieleka na vitako vya bunduki.
Au wao tamko lao huwasilishwa na wamiliki wa vyombo vyao?
Kwani Mengi ni nan si ameongea
 
Linaloendelea katika mjadala kuhusu uvamizi wa Clouds na Serikali kuwa na kauli tofauti. Nahitaji kusikia ukweli na sheria kutoka kwa Rais wa chama cha wanasheria. Huwa napenda kumsikiliza Lissu hasa katika mambo tata.
 
Attachments

  • Image 2017-03-20 at 18.20.36.jpeg
    Image 2017-03-20 at 18.20.36.jpeg
    103.8 KB · Views: 20
Back
Top Bottom