Recent content by abdallahjumbe

  1. abdallahjumbe

    Tanga: Baada ya jana mabomu ya machozi kutumika kusambaratisha watu. Mgomo wa daladala waingia siku ya pili leo

    Ila kwa tanga wakigoma madhara si makubwa kivile baiskeli ni za kumwaga toka makorora hadi ngamiani unakula boda tu fasta
  2. abdallahjumbe

    Wizara ya Mambo ya Ndani: Atakayesema kuna njaa tutamkamata na kumwajibisha

    wanapingana na uhalisia haya wacha tuone
  3. abdallahjumbe

    Sakata la Dangote kaa la moto

    nchi hii ina mambo ya ajabu sana paka unajiskia kinyaa kuwepo humu
  4. abdallahjumbe

    Kati ya elimu na tiba kipi kingekua bure?

    Pongezi kwa mtukufu rais Magufuli kuja na hii kitu sijui tuseme ni sera ya chama ama ni matakwa yako juu ya elimu kua bure Katika mwaka wa kwanza tu tumeshuhudia wimbi kubwa la uandikishwaji wanafunzi darasa la kwanza Hii maana yake ni kua walala hoi wengi tulikua tukikosa elimu hata ya msingi...
  5. abdallahjumbe

    Tatua tatizo la uume mdogo

    umemaliza mkuu shukran
  6. abdallahjumbe

    Tatua tatizo la uume mdogo

    shukran nitakupa mrejesho ila mkuu unachua mara moja tu kwa siku ama vp na inakua kwa ukubwa gani tafadhali
  7. abdallahjumbe

    Tatua tatizo la uume mdogo

    sawa wacha tujaribu
  8. abdallahjumbe

    Tatua tatizo la uume mdogo

    inapatikana katika maduka ya dawa asili
  9. abdallahjumbe

    msaada wakuu

    nime download secure vpn ya tor ila niki connect alafu nikija kwa internet haipatikani nikii disconnet napata internet inakuaje?.
  10. abdallahjumbe

    Ukubali ukatae walokole tuna raha na tuko salama zaidi

    hivi walio okoka wapo hapa duniani tunaishi nao?
  11. abdallahjumbe

    Waziri Nchemba: UVCCM ole wenu muandamane tarehe 31 Agosti

    walitangaza kuandamana nchi nzima ila halikua lengo .
  12. abdallahjumbe

    Tigo 4g ( 1 )vs halotel 3g( 3)

    ilipokua inaanza hata hapa dar ilikua vizuri ila kwa sasa washatepeta.
Back
Top Bottom