Recent content by Abdallah_hassan_

  1. Abdallah_hassan_

    Justin Bieber Hali ni Tete kulikoni?

    Wewe mafia umeionaje hiyo
  2. Abdallah_hassan_

    Kashfa nzito kwa Amunike na wabunge,matusi na kupanga matokeo kwahusishwa huko Misri

    Mie nilijua tu baada ya kutolewa atatafutwa mchawi ili wabunge wasionekane wamepoteza muda na rasilimali kwenda kule zengwe lihamishwe halafu watanzania wasahau. Ila sawa bandugu tumeshasahu. [emoji124][emoji124][emoji124]
  3. Abdallah_hassan_

    ATCL kuwaleta wachina 200 kila wiki nchini

    Kusapoti ufunguzi wa ubalozi Tanzania, kwa Tanzania kuwa nchi ya 13 Africa kukubali Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israël, kwa hiyo ile ilikuwa ni shukran na si vinginevyo wewe usiejua siasa za majitaka ujue.
  4. Abdallah_hassan_

    Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

    Mie naamini hawana cha kugawana kama nyumba naamini hawajajenga, hawana gari, upuuzi wanini sisi kutuletea ujinga hapa. Waambie watu wenye akili za maisha hawana muda wa kupoteza kwenye migogoro shuwain wahed. Mie nimegombana nimeachana na mke wa ndoa na nimemuachia kila kitu sembuse hao vimada.
  5. Abdallah_hassan_

    Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu

    Translation : This has Nothing to do with Islamic state, did great study on this, the investigation were on the ground to study the possible hypotheses of conflict in the zone of basal Rovoma. Let me relax, I'll be back soon .......
  6. Abdallah_hassan_

    Magaidi walioua wanakijiji Mtwara wadai kutaka kupandisha dola la kiislamu

    Juzi United Arab Emirates walijiweka mbali na Marekani kwa mchezo mchafu anaoufanya Gulf wa kushambulia meli za watu na kuwasingizia Iran jana ubalozi wa Marekani unatoa tahadhari kuhusu kuwapo kwa shambulio la kigaidi leo watanzania wanatupiana lawama na kufarakana eti waislam wanataka...
  7. Abdallah_hassan_

    Dini zinapumbaza sana watu.

    Shida ni jinsi watu wanavyoitafsiri dini, ila ni kitu muhimu zaidi kwa binadamu maana dini huleta Amani, kukataza maovu na ndio nyenzo pekee unayoweza kuitumia kwa binadamu mwenzako akusikilize otherwise ni jeuri ya pesa na kuoneshana nani ni nani. Bila hizi Imani mambo yangekuwa magumu sana...
  8. Abdallah_hassan_

    Ushawahi kujutia kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano na mtu? Sababu ilikuwa nini?

    Acheni ukuda mna shg ngapi kwani? kama aidia za mkwanja mnazo pelekeni TRA. Jukwaa la watoto la watoto mazafanta kabisa
  9. Abdallah_hassan_

    Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

    Mamaeee laaah silali home aisee hebu kwanza hivi Jana nilikula nyama au maharage
  10. Abdallah_hassan_

    Wanaoogopa picha hizi, (wenye TRYPOPHOBIA)

    Picha za kukera wewe unasema ugonjwa
Back
Top Bottom