KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,221
- 5,455
uzuri wa serikali ya JPM inawajibu matomaso kwa vitendo, wote wanaosema ni uongo si kwamba hawaamini itakuwa hivyo ila wanaogopa kuaibika kwa sababu walisema ndege zitakosa wateja.
Mateka wa fikra mbofumbofu za kizamaniTuache kudanganyana watalii wanatoka Ulaya na Marekani. Sio China wala India.
umisahau hizo safari wanaruka kwa UNGO bila gharama yoyote au?!!Aisee ni short term plan ama ni endelevu? Kwahiyo kwa mwezi litafanya safari NNE zenye jumla ya wavimba macho 800... Kwa hesabu za haraka ukiuza kila tiketi kwa bei ya juu ya USD 1500 utapata wastani wa USD 1.2... M... Ambazo ni sawa na 2.5B kwa makisio ya haraka
Mzee hujateuliwa tu!uzuri wa serikali ya JPM inawajibu matomaso kwa vitendo, wote wanaosema ni uongo si kwamba hawaamini itakuwa hivyo ila wanaogopa kuaibika kwa sababu walisema ndege zitakosa wateja.
Wachina siyo watalii, Wachina wanakuja kuchukua kazi yako. Ni Wachina wchache sana wanaokuja nchini kwa utalii. Nimewahi kutalii ktk mbuga zetu ckuwahi kukutana na Wachina. Wengi unaokutana nao ni wazungu. Wachina wao wanakuja kutafuta ajira na kuwaletea vitu feki. Wachina wameshajua watanzania tumelala. Ndio maana utawakuta kwenye kuuza karanga wapo, chips mayai wapo zile kazi ambazo wanatakiwa wafanye wazawa wao ndio wanafanya. Umewahi kumwona wapi mzungu kutoka Europe akiuza Karanga au chips kariakoo???Shirika la Air Tanzania limeingia kwenye makubaliano na kampuni ya China iitwayo Touchroad International Holdings Group, ili kutangaza sekta ya utalii Tanzania kwa kuwasafirisha wageni wa kitalii kutoka Hangzhou China na kuwaleta moja Kwa moja hapa nchini kwa kutumia ndege ya Air Tanzania aina ya Boeing 787-8 Dreamliner.
Kwa mujibu wa makubaliano, safari hizo zitafanyika kila wiki ikiwa na wataliii sio chini ya mia mbili (200) na Safari ya kwanza itaanza mwezi wa nane mwaka huu.
nipo kwa ajili ya Tanzania hayo mengine ni ziada tu. Magufuli , Tanzania oyeeeeMzee hujateuliwa tu!
Hata ujumbe wa nyumba 10
Ova
Umekariri. Na wale waisrael huwa wanakuja kufanya nini?
utumwa wa fikra za kizungu bado unakutawala , siku ukidai uhuru wa kutawaliwa huko utajivunia sana😃😃😃Kumbe wachina nao ni watalii siku hizi🤔
Wewe baki na fikra za kichina, mimi za kizungu, wala isikupe shida.utumwa wa fikra za kizungu bado unakutawala , siku ukidai uhuru wa kutawaliwa huko utajivunia sana
Tuache kudanganyana watalii wanatoka Ulaya na Marekani. Sio China wala India.
mimi nabaki na fikra za kitanzania kwa ustawi, maendeleo ya mtanzania.Wewe baki na fikra za kichina, mimi za kizungu, wala isikupe shida.
Unaangalia aina ya watalii au pesa ?, you bitch !Watalii wa kichina....lets wait and see
huo ndio utalii unaopigwa chapuo sana duniani kwa sasa, utalii-uwekezaji. utalii- uwekezaji si tu unatangaza utamaduni na vivutio vya utalii bali unaenda mbali zaidi kwa kujikita katika uchumi, biashara na ujasiriamali kwa maana ya uwekezaji. kama wachina wanakuja kufanya utalii wakiwa na lengo la kutafuta fursa za uwekezaji itakuwa ni habari njema kwa nchi yetu.Watalii wa Kichina. Mchina aje kutalii na kuondoka hivi hivi kweli ?. Wazee wa fursa hawa.