Recent content by abdalahkova

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa nife jioni hii ya leo!!!

    Achana nae huyo mkuu hakuna ulipojisifia.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wachungaji mliopo humu nisaidieni

    Njoo pm nikukune maana ww hutaki kuombewa ila unawasha unaitaji kukunwa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda tufanye mapenzi usiku tuu!

    Mara umeacha mara kitam mbona hueleweki? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Mm pia yamenikuta kama yakwako njoo tuongee niko siriaz
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mke wangu simwelewi kabisa, ananilazimisha niwe na mchepuko

    Sasa mkuu unasema ulishawai kumwambia bekitatu kufua nguo za ndani so vizuri lakini akawaka ukanywea. Sasa huoni kama wewe ndo unamfanya awe hivo? Kumpenda haimanishi usimwambie ukweli.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Alafu mm sikuile niliwaona pale uwanjani kumbe ndo wewe dahhh
  7. A

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na wapenzi wangapi, unao wangapi na unajisikiaje?

    Hiyo moja unauhakika ipo mkuu.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme

    Ni pm yuyajenge
  9. A

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kagundua kuwa namla bintiye

    Kwahiyo unampango wakuhamia kijijini? Kama anakupenda anaenda wapo wengi mbona mawehamia Huko.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa mchepuko wangu anataka kunioa

    Sasa tayari huyo rafiki WA mchepuko wako umeanza kudet nae unaogopa nini sasa. Siuendelee na mipango yako
  11. A

    JamiiForums Tanzania QUIZ: Kama wewe mjanja unajua hesabu, jibu hapa

    Unazingua bwana
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kagundua kuwa namla bintiye

    Kwanini asiweze?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kagundua kuwa namla bintiye

    sasa huoni huyo ni mtu mzima kwa umri huo wanajua anahisia mwili lazima afanye. Sasa wewe ulitaka waseme nini? Lazima wakae kimya wanaona aibu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kagundua kuwa namla bintiye

    Miaka 22 huyo ni mtu mzima hawawezi kukufanya chochote hao wazazi wake. Wewe endelelea kujipigia.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba kagundua kuwa namla bintiye

    Muulize yeye binti wazazi wake wanasemaje huwezi jua labda anamaamuzi yakwake wazazi wake huwa wanamsikiliza. Navipi kwa umri huo anajishugulisha na nini? Nyoosha maelezo ili upate ushauri mzuri.
Back
Top Bottom