Recent content by abdalah Kelenge

  1. abdalah Kelenge

    Siamini hivi kuhusu Punyeto.

    Ngoja waje bhana hiyo iko above my level Sent using Jamii Forums mobile app
  2. abdalah Kelenge

    Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

    Humu hizo usichezee sarafu ya moto tafuta wazee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. abdalah Kelenge

    Je wewe hapa JF unampenda nani(Sio kimapenzi)

    Love you baby mumu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. abdalah Kelenge

    Ewe mwanaume, zama zimebadilika, upikiwe? Kwanini wewe hupiki?

    Nahisi wewe ni mke wa lucifer maana mnafanana sauti Sent using Jamii Forums mobile app
  5. abdalah Kelenge

    Nikomae nitafute mkwanja au niamue kumridhisha yeye?

    Mkumbushe family growth maana wanawake wanajisahau sana hajui muda ulionao ndio wa kujipanga mbele Kuna vikwazo watoto shule mara wazazi mara matumizi ya nyumbani kisa ngono tu dah huyo nae kimeo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. abdalah Kelenge

    Nawezaje kupata roboti inayoweza kufanya kazi ya kupika na kuosha vyombo?

    Ila ni shida hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. abdalah Kelenge

    HPLC in Forensic Sciences by Aldo Polettini

    Siku hizi kidigital ukipenda kitu kitafute Google play store au App store Sent using Jamii Forums mobile app
  8. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kiswahili kigumu mkuu tunapoongelea ubora hatumaanishi ukubwa u see ubora halisi ni ule wa naturally Sent using Jamii Forums mobile app
  9. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mimi mgeni hapa twende slow nahisi ukweli unajua Sent using Jamii Forums mobile app
  10. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Are you sure London haiko karibu na Lake? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hebu leta map hapa tuthibishe uongo uliousema Sent using Jamii Forums mobile app
  12. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Umehama mada mkuu rudi katika haja ya msingi [emoji666] DAR ina ubora kuliko Nairobi kwa vigezo vya ubora wa asili na mazingira hapo ni first point sijagusia infrastructure Sent using Jamii Forums mobile app
  13. abdalah Kelenge

    Kenyan jokes

    Ni shidaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]am laughing too much Sent using Jamii Forums mobile app
  14. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    [emoji16] [emoji16] [emoji16] nazani watakuwa wameenda kufanya photography za mataa wait soon will be uploaded Sent using Jamii Forums mobile app
  15. abdalah Kelenge

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes kwahiyo hicho ni kigezo tosha kuwa Nairobi is not better than Dar esalaam Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom