Wananchi wanafahamu viwango vya nauli?
Nadhani Latra inatoa elimu ya kutosha juu ya viwango vya nauli,wananchi wenyewe wajiongeze wasikubali nauli zizizopo nje ya zile za Latra.
Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi ukilinganisha na chakula kinachozalishwa kwa sasa. Idadi kubwa ya watu inahitaji fursa za ajira pamoja...
Maandalizi ndio msingi wa kila jambo,huwezi kufaulu usaili vema bila kufanya maandalizi,huwezi kufundisha vema kama ni mwalimu bila kufanya maandalizi,huwezi kugombea nafasi ya kisiasa,huwezi kusafri,kucheza mpira au kufanya jambo lolote bila kufanya maandalizi.Kadiri maandalizi yanavyofanyika...
Ukinunua gari au boda boda dereva akawa haleti hesabu akatokea dereva ambaye ataleta hesabu utampatia anayeleta hesabu hata kama dereva mzembe ni mwanao wa kuzaliwa. Nchi inahitaji maendeleo na njia iliyotumika kwenye bandari ni kuondoa watu wachache wanaofaidika na bandari na kuweka wawekezaji...
Dp World ni wafanyabiashara,mkikubaliana nao ni kufanya biashara na yale mambo ya kiholela na wizi hayatakiwi kuchukua nafasi.Hakuna kesi itakayokuwepo kati ya Tanzania na Dp World
Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
Endela kujifungia usikutane na watu wenye biashara na pesa zao ukadhani utaondokana na umasikini. Sisi masikini tulifundishwa elimu mbaya sana ya kuwachukia matajiri na ndio inayotutafuna mpaka leo. Kasome Rich Dady Poor Dady
Vikao anavyofanya na viongozi wa vyama vya upinzani havina hesabu,ukiona viongozi wa upinzani hawalalamiki,jua mambo yanaenda vizuri.Achana na maneno ya watu wa club house
Kwani kuna chama kimeomba kuongea na wanachama wake kikakatazwa?,Mikutano ya kuwakutanisha watu na kusimamisha shughuli za uchumi ndio inatafutiwa utaratibu mzuri
Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.