ukitaka mwanamke akuheshimu usiwe mtu wakuongea sana hata kama kakuudhi nyamaza muangalie tuu. niamini keaho hatorudia lkn ukibishana nae kila siku mtagombana
Mm naona yuko sawa kazi ya serikali nakugharamikia wananchi wake kwn hakuna nchi umeme unavutiwa Bure kabisa acheni propaganda. Tanesco itazidi kupata mapato kwa wingi kama watanzania wengi wakiwa na umeme. Na kuwa tajiri sio kigezo chakutoa pesa nyingi ndio upate umeme Kwan tajiri pia ni...
Ni kweli kumekuwa natabia kama hizi ila mwanaume ndio mchunga wa familia kama mkigombana ucku unatakiwa mpaka asubuhi muwe mmepatana na ukiweka utambi tu mambo yanaisha kesho mnaamka na nada nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.