Recent content by Ab5

  1. A

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzales ni mtu wa asili ya wapi?

    Na ww umetuonesha kama unayajua majina ya kofiii
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tigo mnakoelekea mtatuuzia 1 GB kwa Tsh 10,000/=

    Mimi nimewaacha nimehamia TTCL
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

    umeandika utumbo ......
  4. A

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee apoteza Jimbo la Kawe, Gwajima aibuka kidedea

    Giza totoro ndio ishara ya mapambazuko.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Heri waliolala mauti maana hawakuyashuhudia haya ya Oktoba 28, 2020

    kuna siku wote tutakufa... let them do whatever as if they will live forever
  6. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo kikubwa Musoma: Lissu apokelewa kama shujaa

    sikupanga kupiga kura lakin nimepata hamasaaa ngoma inogile napiga kuraaaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    mmi inagoma ku log in nikireset pasword sion kitu nmechok
  8. A

    JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu kuhusu Online Teachers Application Sytem (OTEAS)

    i think wanaifanyia maboresho itakuja kukaa sawa tu wala tusiwe na presha ndugu Walimu watarajiwa hii ni kazi kwaajili yetu na system ikiendelea kugoma i hope watataoa orodha watu waripoti moja kwa moja we unacxhezea serikali ya magufuli hiatagak wannch wateseke
  9. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema azindua kampeni kwa Kishindo, uwanja watapika, Wananchi wajazana kupita uwezo wa eneo husika

    nilivyoona tu title nikajua huna hoja bali utopolo mtupu
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Barua ya Wazi kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuhusu Mwenendo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu (2020) za Mheshimiwa Tundu Lissu

    umeandika utopolo na utaona wanautopolo wanzako wanakuunga mkono
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubaguzi wa kiitikadi haukubaliki

    Na wakiteuliwa bado wanabaki kuwa Wapinzani?
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubaguzi wa kiitikadi haukubaliki

    Sio saw kabisa ukianzia hapo kwenye ubaguzi wa kiitikadi ni wazi kwamba hutaishia hapo it is possibly ukaenda hadi kwenye masuala ya kidini as far as umejitanabaisha kwamba ww ni mbaguzi ikiwa unambagua Wananchi kwasababu ya imani yao ya kisiasa vipi wale wasioamin kuhusu dini yako itafikia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wa sasa tufikiri kuhusu haya

    Vijana sisi ni watu wenye nguvu sana katika Historia mambo mengi makubwa yalifanywa na watu wakiwa katika umri wao wa ujana mfano hao kina Malcom X, Marcus, Martin Luther, Mandela, Nyerere na wengineo Historia inawazungumzia mpaka leo kwasababu ya waliyoyafanya wakiwa vijana at their 20's and...
  14. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nilishawaambia muengueni Tundu Lissu, hamkusikia. Oneni!

    thinking is difficulty that is why most people judge
  15. A

    JamiiForums Tanzania Walichofanya HELSB sio haki!

    Bum haihusiani na ada Dogo
Back
Top Bottom