Mkuu,pokea hata jina moja moja halafu baadaye copy kwenye karatasi yatakuwa mengi,Mimi namkumbuka aliyekuwa mtangazaji maarufu enzi hizo Suleiman Kumchaya alikimbiza miaka ya 80 na bado anadunda
Ulimi uliponza kichwa,angalia msing'oe viti hata huko,mchezo huu unahitaji uvumilivu,Mikia FC mnahitaji kuwa na dawa ya usingizi Karibu kwani bila hiyo usiku wa leo utakuwa ni mrefu sana kwenu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.