Nimeathirika na kujichua, nakosa hamu ya tendo, nifanyeje?

Naombeni msaada wenu
Mimi najichua sana takriba miaka 5 mpaka sasa nikipata mwanamke nakuwa sina hisia naye.

Nifanye nini kuacha kujichua na kuweza kurudisha hisia zangu kwa wanawake natamani nijirudi nawashauri na wengine kujichua sio nzury
nitafute nikupe formula ya kurudisha nguvu kwa matunda tu uwe na elfu 20 ya mahojiano maana utakua client wangu nitakaekua nakushaul kama dr wako so utalipia mda wangu kipind chote cha tiba 0712505049
 
Naombeni msaada wenu
Mimi najichua sana takriba miaka 5 mpaka sasa nikipata mwanamke nakuwa sina hisia naye.

Nifanye nini kuacha kujichua na kuweza kurudisha hisia zangu kwa wanawake natamani nijirudi nawashauri na wengine kujichua sio nzury
acha kabisa kujichua na acha kufanya tendo la ndoa kama mwezi hivi then ujaribu tena kupamp
 
Acha kabisa kujichua, kula chakula bora mboga za majani na matunda kwa wingi na ufanye mazoezi kama mwezi hivi utaona matokeo.
 
Nilitaka kuchangia kitu kama hichi.. Mkuu sio mwezi hata week mbili tu utashuhudia mabadiliko hutaamini pia Kipind hiko unafanya na kegel exercises
 
Pole sana, hili ni janga kubwa vijana wengi wanaathirika kama wewe.
Anza kufanya mazoezi ya mwili mfano kukimbia, push up, kuruka viunzi au kung fu haya ukifanya unakuwa fit sana na yatakusaidia kimwili na kisaikolojia.
Unaeza kucheki na movies, sikiliza muziki nk kama wapenda pale unapokuwa umechoka na unapumzika hii itafanya usiwe unakumbuka kujichua.

Halafu naomba nikuulize hivi una rafiki wa kike yeyote au mpenzi au upo kwenye ndoa?
Nimeuliza sababu vijana wengi nimewaskia wanasema kilichofanya waaanze kujichua ni ugumu kwenye kupata mpenzi.

Fanyia kwanza kazi hayo nilokwambia kama bado huezi kuacha tafuta mwanasaikolojia akufanyia counselling.
 
Asante kwa ushauri wako
 
We endelea tuu si ndio maisha uliyojichagulia.... .....jiandae na mimba ....za viganjani...
 
Njoo kwa Yesu hilo ndilo jibu la uhakika kwa tatizo lako,ukimpokea tu kuwa Bwana ktk maisha yako utaona mabadiliko instantly
 
Naombeni msaada wenu
Mimi najichua sana takriba miaka 5 mpaka sasa nikipata mwanamke nakuwa sina hisia naye.

Nifanye nini kuacha kujichua na kuweza kurudisha hisia zangu kwa wanawake natamani nijirudi nawashauri na wengine kujichua sio nzury
Mkuu wenzako wako kwenye muhula wa tatu na bado wataendelea na muhula wa nne ww mmoja tu tayari unaona umeathirika..piga nyeto ndio bora kuliko papuchi.mimi Nikishamalizanaga na my wife nashushiaga na nyeto moko kiroho safi ...
 
Back
Top Bottom