Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Kufuatia kutangaza kustaafu soka kwa beki wa Kulia wa klabu ya Bayern Munich Philip Lahm ifikapo mwisho wa msimu, Dunia ya soka itammiss Lahm moja kama beki bora wa kulia wa wakati wote katika mchezo wa soka. Ikumbukwe Lahm ametumikia klabu moja tu katika career yake ya kusakata soka kwa ngazi za vilabu.
Je ni beki gani wa upande wa kulia unahisi ni bora kwa wakati wote?
Mimi nampa Phillip Lahm ambaye alitwaa kombe la dunia akiwa kama nahodha pia amecheza mechi zaidi ya 500 bila kuoneshwa kadi nyekundu.