Generally speaking, overdrive is the highest gear in the transmission. Overdrive allows the engine to operate at a lower RPM for a given road speed. This allows the vehicle to achieve better fuel efficiency, and often quieter operation on the highway. When it is switched on, an automatic...
Majuzi wameiba NOAH sehemu fulani panaitwa Rift Valley na kabla ya hapo waliiba maeneo ya Golani pia NOAH
Jana ndo wakaja stop over kuiba Prado ndo tumewakamata
Na kwa masikio yangu pale polisi mbezi huyu mwizi baada ya kubanwa kataja idadi ya magari 8 na sehemu walizokwisha kuiba hayo magari...
Huyu Mtuhumiwa hajauawa na Wananchi Polisi wamefika eneo la tukio wanatalaumu kwa kuwapa kazi kwann tusingemmaliza?
Jamaa amekuja hom tunapopaki gari akabomoa kioo cha gari akatoa lock akafungua Power Window akaona haitoshi akaamia kwenye Steering akavunja Lock Switch anafungua ili aconnect...
Huyu Mwizi hajafa wala nn na mpaka Polisi wanakuja anaongea na wameondoka naye anaongea anawataja wenzie.
Sasa sijui nyie mnaoropoka kwamba ameuawa au tuna ushahidi gani kwamba ni mwizi wakati tumekuta amefungua Power Window na Lock ya Switch kavunja anataka awashe gari coz hakuwa na funguo, na...
Mmoja wa Wezi wa Magaari aliyekamatwa maeneo ya Kimara Stop Over usiku wa kuamikia leo. Wenzie walikimbia yeye kanasa, Gari wanayotumia kufanyia uhalifu ni RAV4 T 423 DAA rangi ya Silver/ White.
Hiyo Gari inatuhumiwa kuhusika na tukio la WIZI wa Gari aina ya NOAH maeneo ya Rift Valley Kimara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.