Nauza Samsung Galaxy S5 mpya

Nauza Samsung Galaxy S5 mpya

Nauza simu aina ya Samsung Galaxy s5 mpya full boxed ikiwa na nyaraka au stakabadhi zote halali zikiwemo charge,,earphones na risiti pamoja na Warranty ya miaka miwili

Sababu ya kuiuza ni shida ya pesa tu..nna shida na pesa naiuza huku moyo unahuzunika ila sina namna

Bei laki tisa za KiTanzania (900,000)/=

Colour electric blue kama unavyoiona hapo juu

Mawasiliano 0688 913 666

Ahsanteni!!!!

Nauza samsung galaxy S4 kwa 600,000
 
Moja;; nimemsikitikia sababu ni simu nzuri sana na iko juu sana kwenye soko la simu

Mbili;; kwajinsi alivyotoa tangazo kajieleza vyema kua ni mali halali na vithibitisho vyote anavyo japo kajieleza kiunyonge ndio maana nimepata simanzi Kwani ata mm natumia simu kama iyo

Tatu na Mwisho;; Kuhusu bei nenda Jmall Posta Pale makao makuu ya Samsung Mobiles au Mliman City pale Samsung Shop then uliza utapata BEI YAKE,natumai nimekujibu vizuri mkuu

Asante

Mkopeshe hiyo hela ili asiuze simu hiyo
 
Kumbe kuuliza ni dharau??

Kama simu unaipenda sana kiasi cha kujuta kuiuza... kwaninj usiuze kitu kingine?

Ili usiumie sana siku nyingine, nakushauri usinunue benz wakati uwezo wako ni wa bajaji.

dharau iyo wala sio sifa kumdhihaki mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
dharau iyo wala sio sifa kumdhihaki mtu!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sijamdharau mtu kwa kusema ukweli.

Vinginevyo angeiuza kiroho safi tu. Ukiuza kitu kwa kusononeka mnunuaji pia atasononeka....
 
Du kaka pole sana kweli shida ni balaaa nakumbuka hata me yalinikuta mipango iligoma mwenye nyumba kanikomalia nilitaka kuuza gari yangu ili nilipe kodi aisee ila mungu ni mwema baada ya siku mbili tu nikapata safari kiofisi nje ya nchi mipango yote ikaenda sawa nakushahuri vumilia kama una mshikaji akuazime tu hyo pesa ila siyo kwa riba maanke ni mkosi ila hyo simu usiuze kaka
Pole sana
 
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy s5 mpya full boxed ikiwa na nyaraka au stakabadhi zote halali zikiwemo charge,,earphones na risiti pamoja na Warranty ya miaka miwili

Sababu ya kuiuza ni shida ya pesa tu..nna shida na pesa naiuza huku moyo unahuzunika ila sina namna

Bei laki tisa za KiTanzania (900,000)/=

Colour electric blue kama unavyoiona hapo juu

Mawasiliano 0688 913 666

Ahsanteni!!!!

Dada sijui Kaka nimekuinbox msg kibao ila naona kimya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom