Recent content by aAllen

  1. aAllen

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la ushirikiano wa Biashara ununuzi wa ufuta

    Je iwapo halmashauri ikikukamata na kutaifaisha huo mzgo utafidia vipi? Maana unajitangaza wazi wazi kuwa unanunua ufuta tena bila kibali cha halmashauri na huna leseni ya kufanya biashara hiyo!! Tunaju ufuta hukusanywa na vyama vya msingi na kupelekwa vyama vikuu 'maghara makuu' kwa lengo la...
  2. aAllen

    JamiiForums Tanzania Unaanzaje kumchukia Hayati Magufuli? Utakuwa huna akili timamu

    El Mnyonge ni mtu wa aina ipi?
  3. aAllen

    JamiiForums Tanzania Je ni mimi tu ambae siku yangu ya kuzaliwa hinikuta sina pesa?

    It's very painful.
  4. aAllen

    JamiiForums Tanzania KERO Liwale Lindi; Umeme unakatika kila siku, nina mwaka wa pili sijaona umeme ukiwaka siku nzima

    Hali hii ipo wilaya ya Masasi pia.....tangu umeme umeunganishwa kijijini kwetu sujawahi ona umeme unapatikana ndani ya masa 24 bila kukatwa!!! mwaka sasa
  5. aAllen

    JamiiForums Tanzania Serikali mhemko: Vyuo vyote vikuu Dar vimefungwa kupisha mkutano ya viongozi

    Acheni tupumzke....kusoma nako kuna chosha....siku 2 tu kelele kibaooo je ingekuwa wiki 1.....kipindi cha Corona mbona tulipumzka mwez m1 kiliharibika nini?
  6. aAllen

    JamiiForums Tanzania Ila kutapeliwa kunauma wakuu

  7. aAllen

    JamiiForums Tanzania Soma hapa uelewe vizuri kwanini msafara wa Rais unakuwa na magari mengi

    Kwanini wasitumie ma basi kwa idara nyingne? Rais na mawaziri ndo wangetumia magari binafsi Mkuu wa mkoa na na viongozi wake wote wa chini chini yake wakae kwenye basi moja mfano (Mkuu wa mkoa,wakuu wa wilaya,wakurungenzi na wengineo )mbona viongozi wetu wa AFrika(ma rasis) walipohudhuria...
  8. aAllen

    JamiiForums Tanzania Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    MBUYUNI ya MOSHI? au ya MASASI?
  9. aAllen

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu alishinda betting milioni 7 na laki 4 mwezi wa kwanza, kwa sasa anatia huruma, hii michezo ina maendeleo kweli?

    Uwongo huu Utalipwaje mirathi bila kua na account bank?
  10. aAllen

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    We ni mjinga ka walivyo andika wajinga wengne kwakua leo ni siku ya WAJINGA!!!!
Back
Top Bottom