Kwa jinsi navyo ona argument ya mwanzisha uzi nadhani atakuwa gen Z maana hawa wadogo zetu kwa manung'uniko wako juu sana, uwezo wa kufikiri wako chini sana
Yaani unataka utumie kitu haujalipia sasa inawezekanaje ?
Ile kwamba ulishiriki kununua haina maana kwamba sasa utatumia bila...
Uwezekano wa kupata shule nzuri ni mdogo sana kwani Shule nyingi za kidini hasa kiislam na sabato Huwa na performance mbovu sana kwenye elimu Dunia nadhani shida ni kuwekeza sana kwenye dini na sio elimu LAKINI HILI NIMESEMA TU sikupangii Nini cha kufanya
Ndoto zako zilikua kuwa tajiri kwa usiku mmoja mwekezaji kameza ndoto zako
Badili attitude wachana na kamari kijana hakuna mafanikio huko
Mafanikio (ikiwemo utajiri ni mchakato ) mrefu sana kubali steps wachana na overnight changes
Akili yako inakwambia wanapaswa kubaki na maisha Yale kila siku ?
Huoni umuhimu wa wao kupata elimu Bora, maisha Bora na mengine ?
Basi, tu-assume uwezo wako wa kufikiri kmeishia hapa
Swali la kwanza (uwe muwazi deep down unamtizia mahitaji yake Angalau Kwa 70% ?)
Swali la pili kwenye uchunguzi wako hizo pesa anachukua anazipeleka wapi ? Matumizi ya humo ndani ?, anahonga ?, anawatumia ndugu zake ? Au anatumia kwenye Nini ?
Mke wako anajishughulisha na Nini ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.