Polepole na tuhuma za uongo dhidi ya mradi wa JNHPP

We jamaa matako kweli je umeona bei za umeme zmeshuka, kama sivyo basi kuna upigaji.
 
Nyie wapumbav machawa wachafu msiwe mnajitokeza kumjibu ujingaujinga polepole, tunataka viongozi wazito wajitokeze kumjibu wewe kenge tu una nini yaani
 
polepole alikuwa na mpango mzuri nakumbuka ya diplomasia
Ya afya kati ya Cuba na tz,uletwaji wa madawa naona kuna zengwe lilikuwepo

inabidi siku aje azungumzie aeleze ugumu ulikuwa wapi

ova
Haya yanaweza kuwa yapo chini ya kiapo cha usiri.
Anaweza kushindwa kusema hadharani.
 
polepole alikuwa na mpango mzuri nakumbuka ya diplomasia
Ya afya kati ya Cuba na tz,uletwaji wa madawa naona kuna zengwe lilikuwepo

inabidi siku aje azungumzie aeleze ugumu ulikuwa wapi

ova
Ule mpango ulikuwa poa sana, sijui ni wajinga gani huko serikalini waliukwamisha...
 
Kuna dawa za kupuliza kuua mmbu zinatoka Cuba,nlibahatika kuzipata ilikuwa kwa mbinde lkn
Zinafanya kazi....
Nahisi siasa,maslahi ya watu yaliingiliwa
Ila ile program ingekuwa kabambe sana
Maana ililenga wenye matatizo ya magonjwa sugu ya ngozi,mifupa,kisukari nk na dawa jamaa walikuwa nazo
Labda TMDA watakuwa wanajuwa zaidi

Iva
 
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzakwaSamia
 
Attachments

  • VID-20250902-WA0342.mp4
    1.9 MB
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Hoja mbovu kabisa
Kwani pesa zinazoibwa katika Halmashauri na miji hazipitishwi na Bunge?
 
project
 
Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.
Masta we huna akili
 
Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.

#Haijapatakutokea
#KurayakwanzakwaSamia
 
Attachments

  • VID-20250902-WA0005.mp4

Embu nipe link nimcheck huyu mwamba anatusanua kweli kweli.
 
Personal attacks on social issues do not help you cleanse your rottenness
 
Kabla hujapost baada ya kuandika uharo wako, unipe muda wa kuusóma, alafu Jiulize, Jamii itapokeaje?.

Hata kama ni ID hewa, Hiyo haiondii ukweli kua Umejaza matope kichwani kwako.
 
POLEPOLE NA UONGO USIO NA USHAHIDI

Kuhusu swala la Polepole kusema kwamba kwenye mradi wa bwawa la JNHPP kuna ubadhilifu wa pesa, hilo ni uongo kwa sababu zifuatazo:

1. Mradi wa JNHPP ni mradi wa kimkakati ambao ulikuwa ndoto ya viongozi waliopita na huu ni mradi ambao umeenda kutatua tatizo la umeme kwa Watanzania. Pia ni mradi ambao uliidhinishwa na Bunge/Serikali kwa ujumla.

2. Swala la ubadhilifu wa pesa ni la uongo kwa sababu kila pesa inayotoka kwenda kwenye mradi huwa ni lazima iidhinishwe na Bunge. Kama kutakuwa na ubadhilifu wa pesa, ripoti ya CAG ndiyo huwa inakuja kusema hayo. Je, ripoti ya CAG iliyaona hayo? Ikiwa haikuyaona, basi Polepole naye atakuwa miongoni mwa wapigaji hao anaowataja.

3. Wakati huo Polepole alikuwa ni Mwenezi wa Chama, nafasi ambayo ilimpa wajibu wa kuunga mkono na kusimamia utekelezaji wa miradi ya Serikali. Kama kweli aliona kuna tatizo, kwa nini hakulitolea maelezo akiwa ndani ya mfumo? Kwa nini asubiri leo aje na tuhuma zisizo na ushahidi?

Hapo ndipo inakuja hoja ya kusema kuwa Polepole amekuja kuichafua Serikali ya Awamu hii baada ya kuona hajatimiza majukumu yake ipasavyo na kutekwa na mabepari wa nje kwa kulipwa fedha nyingi.
Ile Winchi ya kunyanyua tani nyingi aliyosema Januari hukuelewa hiyo code ilikuwa na viashiria gani?
 
Umewahi kuapishwa na marasi 3?

Umewahi kumwakilisha Rais kwenye inchi zaidi ya moja?

Umewahi kuwa msemaji mkubwa wa chama?

Umewahi kuwa mjumbe uliechaguliwa na Rais?

Kama hayo yote huna then kaa kimya tu uwezi kumjibu pole pole
😄 🤣
 
Back
Top Bottom