Recent content by A man from Island

  1. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

    Tatizo ni kwamba, unampambania mtoto wa single mother, unampa kila malez anayostahil mtoto, unamsomesha, akikua akafanikiwa hakukumbuk tena, anarud kwa baba yake! Single mother hana shukran anachojal yeye maisha yake yaende! NOTE; Kama unampenda sana do everything as your own lisk
  2. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Risasi ya Kichwa

    Hii haiingii akilini, yaan mwanamke atake kubadili umiliki, nyumba iandikwe umilik wa "yeye na watoto" halaf jamaa achukue maamzi ya kumuua! HAPANA, hapa kuna namna nyingne, kuna kitu behind! Sema dada wa kaz yeye kasema kile anachokijua, tena kasema kile alichosimuliwa na marehem, halaf ukwel...
  3. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Siri za Kistaarabu za Kutatua Migogoro ya Ndoa na Kulinda Ustawi wa Familia

    Namba 1&2, mwanamke utamuua!
  4. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua maumivu ya mtu aliyepambana miaka yote kujenga maisha yake halafu aambiwe mali zigawanywe ?

    Mwanamke mwenyewe huyo inaonekana alikuwa muongeaji, hawa ndo wanawake ikitokea ugomv kidogo yeye ndo anautawala ugomvi kwa kuongea! Inawezekana jamaa alitaka suruh lakin mke hayumo, kasimamia msimamo ule ule, jamaa akaona "usinichosho, nisikuchoshe,tusichoshane!" Ila kuish na mwanamke ni...
  5. A man from Island

    JamiiForums Tanzania WANAKUPENDA KWA SABABU HUNA MSIMAMO

    Uzuri katka maisha yangu huwa sipend kudharauliwa, fanya yote ila usiniletee dharau! Pesa ni zako, mim hazinisaidii, nidharau ila usinifanyie kitendo cha kunionyeshea kunidharau, nitajitoa kafara kwaajiri yako! Asanten!
  6. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Wew hilo tulio unalijua vizuri? Kama jamaa hakuwa na pesa (alikuwa analelewa na mke) bastola alitoa wap? Hapana, hapo kuna namna, huwenda hata pesa mke alonunulia kiwanja na kujenga huwenda ni mizinga kutoka kwa jamaa, hvyo akawa anataka yeye kama kichwa cha familia majina yake yawe katka...
  7. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam

    Tena hawa watu wanakuaga na ujinga mwingne, unakuta wanaongea kama kamezeshwa flash, tena ukimgusa ndo kabsa anaboyoka had majiran wanasikia! Tena kuna wanawake, akikosea hakubali kosa, katakata utapga uue lakn hakubali kosa, tena wakat huo anaongea sana atahakikisha wakat mnaonge, saut yako...
  8. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Hilda Newton Kumchafua Waziri Mkuu Hakikubaliki Popote Pale Duniani na Hata Mbinguni. Siku Yaja Atakapolipa Gharama yake Kwa Machozi.

    wew huna akili, hivyo viapo ungeliwaapia waliohusika na mauaji ya october 29, huyo dada hana kosa, inakuaje mtu unakubali na kuweka mazingira ya kurekodiwa ukiwa faragha!?
  9. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wicknell chivayo kuwa mzima

    Hayo ni mawazo yako tu! Unataka kutwambia kuwa ndege ilijiendesha bila ruban?, kama kulikuwa na ruban, je alikufa kwa kujitoa mhanga kama kwel ni ajari ya kutengeneza? Inamaana wale wataalam waliofika pale kutwaa masalia ya miili wametudanganya kuwa masalia yalikuwepo, (kama hakukuwa na...
  10. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Ni ushamba na upuuz wa kijinga, acha wawe wanakoma!
  11. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Fundi simu aliuza taarifa za ndugu yangu kwa wachapisha umbea, zikachapishwa mtandaoni kumdhalilisha

    Hiv watu huwa mnatumiaje cm zenu!? Unaanzaje kujirekod picha ukiwa faragha na mpenzi wako/ inakuaje unachukua picha ukiwa naked then unazitunza katka cm (za kazi gan, ili iweje, ufaidike nin?). Acha mkome, huko ni kukosa maadili!
  12. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Niwafanye nini hawa watu..?

    Ushauri wangu; kwanza kabsa, tulia usifanye maamz kwa hasira na kukurupuka, unaweza kudhan unamkomoa mmeo na mchepuko wake kumbe baadae ukawaumiza watoto, vp kama utawaacha watoto na asiwajari au akamleta huyo mchepuko akaish nao kwa kuwanyanyasa!? Jambo lingne; usiwe na wiv sana na mmeo...
  13. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

    Tatizo la wabongo wakiwa na wabongo wenzao uzungu uzungu mwingi, wakutanishe sasa na mzungu asilia utaona jasho linavyomtoka, maneno hayatoki, anakua The...the...you know....the! kinachofata anangalia upenyo aishie mitini!
  14. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

    Binafs nakumbuka mambo meng sana ya inz hizo, nyimbo zilizokua zikiimbwa c kama za leo hii, watu walivyoish c kama leo hii, maisha kwa ujumla c kama ya leo hii!
  15. A man from Island

    JamiiForums Tanzania Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

    Aisee! Huwa nayakumbuka na kuyams sana yale maisha ya utoto enzi hizo, ki ukwel nataman hata yarud hata kwa muda!!! Ile michezo ya kitoto tulyokua tukicheza, mfano; mbalee, ukuti, lede, kutafutana katka giza wakat wa usiku wakat tunasubil wazaz waivshe tuitwe kula unakuta tumekusanyana watoto...
Back
Top Bottom