Recent content by A Lady

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi JK alijua anaongea na kundi gani pale Davos?

    Kwa kweli nashindwa kusikiliza part ya mukulu, i just feel so embarassed OMG. He is just too empty.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

    Aisee watu wanalala balaa. Tatizo mukulu anaongea upupu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo prof. Maghembe alivyopata ubunge wake Mwanga

    We are so cheap! Damn!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kunasa simu za watu.!?

    That is invasion of peoples privacy. Unfortunately people here dont see anything wrong with it until when your privacy is invaded.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Hoja bungeni: Salvatory machemuli: Jembe la ukweli la chadema ukerewe

    Aisee huyu mbunge kanifurahisha na kunipa matumaini kuwa kuna watu makini.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Asante sana Mh Mnyika, umewajibu mabongo lala, wauza sura na manjuka

    asee kuna watu wako serious na kazi walizopelekwa kufanya bungeni na mmoja wao ni Mnyika. big up bro.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Shehe Mkuu wa Tanzania awakataza Waislamu kushiriki maandamano ya kisiasa

    Research nyingi zinaonesha nchi nyingi zilizoendelea hasahasa europe watu wake hawana misingi ya kidini. They mostly rely on facts. Now i know why.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Risasi zafyatuliwa Manzese kutawanya wafanyabiashara

    Hivi haya matumizi ya mabomu na risasi mbona yamekuwa rejareja kiasi hiki. Afu watu wanashangilia humu ndani! Yana madhara yake jamani haya matumizi ya nguvu kupindukia!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya Dowans sasa kuwashwa - Waziri Mkuu Pinda

    Tatizo watanzania mnapenda majibu rahisi kwa maswali magumu. Kwani hayo maji mtera yameanza leo kukauka? Sasa ilishindikana nini kutafuta suluhisho la kudumu muda wote huo? Kila siku dharura? Huo mkataba mnaushabikia mnajua una nini? Jamani hii nchi inachosha! Ila cha moto tutakiona!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Makombora yatua nyumbani kwa Pinda - Askari Wafuta Picha

    Nilivyosikia maelezo kutoka jeshini, ni kwamba baada ya askari kuona gala namba 5 linaungua wakataarifiana wakatako nje ya kambi. Baada ya kumalizika tukio kuingia ndani ndo wakagungua magala mengine yote 23 yaliungua nayo. My Take: Hawa sio watu wa kulinda nchi yetu hata siku moja. Instead ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    Hivi kwanini Dar es Salaam imezungukwa na kambi nyingi kiasi hiki na huku ina wakazi wengi sana ambao wengi wao wanaishi na hizi kambi? Ukisema uwahamishe wakazi kutoka karibu na kambi naona Dar itakuwa military city. For real do we really need all these bases? Mi naona zenyewe ndo ziondoke.
  12. A

    JamiiForums Tanzania With President Kikwete we are not safe!

    Wanasema Tanzania tuna amani, tusiandamane, tusiwashinikize tusije tukapoteza amani yetu. Haya sasa! Mie nimeshachoka!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

    Waafrika mnashangaza sana. Hizo dini zenyewe mnazo gombania mmeletewa na wageni. Leo hii ndo mnataka zitutenganishe. Huku tunakoenda siko. Kuna watu wanatoa maneno yanasikitisha sana. Tumieni busara!
  14. A

    JamiiForums Tanzania President Kikwete stop this madness please or resign!

    I am surprised that you guys are surprised with his behavior. Kipindi cha kwanza kuna muda tuliwekwa kwenye auto pilot for a long time, sasa kipindi hiki cha lala salama i was sure this guy will be worse than before. Mliambiwa msichague maafa. Sijui kwanini watu mnalalamika honestly, ni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Pumba kweli hizi. Wanajishuku sasa. Mwanasheria mkuu my foot.
Back
Top Bottom