Asante sana Mh Mnyika, umewajibu mabongo lala, wauza sura na manjuka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante sana Mh Mnyika, umewajibu mabongo lala, wauza sura na manjuka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bolivar, Jun 16, 2011.

 1. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mh Mnyika amesema Nepi anasoma bdgt kama vitabu vya A E I O U, haelewi bdgt ya upinzani inavyotengeneza pre conditions za kupunguza gharama za uzalishaji!

  Kupandisha fine kwa madereva hakutapunguza ajali bali kutaongeza rushwa kwa vile fine hizi tu za sasa ni kubwa tatizo ni rushwa za trafiki!

  Gesi ikitumika kwenye magari nauli Dar zitashuka kwa 50%!
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  MNYIKA ameniudhi kumjibu huyu mbuzi, sio size yake, apambane na watu wenye akili zao sio huyu NEPI.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe mkuu.
  NEPI ni boga head - huwezi kumjibu mtu kama yule
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nepi?????ndo yule wa itikadi na uenezi nni?
   
 5. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  jamani kasema nini huyo MNYIKA updates please! ila simu yangu haina pdf,in case of speech !
   
 6. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu ndio huyo huyo Kijana wa propaganda!
   
 7. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  John Mnyika,Ametoa hoja nzuri sana.Kweli hatukukesha ubungo bure katika kuipigania haki,haki hiyo ndiyo inayozaa matunda sasa.

  I think Other Mps should learn kwa nini Mnyika amekuwa vibrant..... It is terra ferma for him and not terra incognita. It is familiar to him and once you were ceased of the muances of parliamentary discourse and discobolus it follows therefore that it will be familiar to you , partly…but again, partly it is equally responsible…, for the fact that you cannot succeed as a parliamentarian if you are not cosmopolitan. You must be prepared to immerse yourself in societal dialectics for you to be able to contribute efficaciously in a utilitarian modus.

  If you are a parliamentarian and you don't go through the ritual of even reading newspapers, you don't bathe yourself in the aqua of the political cross currents, then you are going to be deuced, you are going to be paralytic in your contributions. So yes, Mnyika's brief experience in the Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania has been responsible for his vibrancy in one breathe. At another breathe, His desire to perpetually entrench himself in political, social and intellectual currents have equally contributed in its own

  Sitaki kujadili watu but kwa hili nimeshindwa kuvumilia
   
 8. A

  A Lady Senior Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asee kuna watu wako serious na kazi walizopelekwa kufanya bungeni na mmoja wao ni Mnyika. big up bro.
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Mkuu samahani sio wote wanaojuwa hiyo lugha, tenda haki ,toa hoja zako kwa kiswahili kwa faida ya wengi. Nakemea sana matumizi ya lugha za kigeni kwenye jukwaa hili.
  Kuna sehemu zinahitajika hizo lugha kutumika tumieni sehemu hizo ambazo ni lazima kutumia.
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nampongeza sana John Mnyika kwa uchangiaji wake wa hotuba ya budget na msimamo aliouonyesha, tunashukuru sana. Baadaye tutasikia jembe lingine la Chadema kutoma Mwanza- WENJE kaeni mkao wa kula hapo saa 11:00 generator zenu ziwe na mafuta ya kutosha isijekuwa Magamba wakakata umeme. Big up chadema.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Zumbe Mkuu kwani huko magamba kuna mwenye akili?Wote vilaza toka juu hadi chini.
   
 12. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Wakati mwingine kumwadabisha kichaa inahusu maana wanakera!
   
 13. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Tuliokesha kulinda kura za mnyika, we feel proud of him.
   
 14. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani Nape ndio nani katika hii nchi na kuna wakuu wa wilaya wangapi wasio na uwezo kama Nepi? Ndio maana Wilaya na Mikoa inadorora kwa kuwa wengi wanao chagualiwa ni mambumbu kama Nepi, kazi kupeana kazi kiushikaji sio utendaji
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  hahahahahaha, wee bwana wewe, hahahaha! wapo bwana ila hawapewi nafasi, kinachonishangaza kwanini hawataki kuwa huru? sasa ona wanavyoburuzwa na vilaza kina JK na NEPI.
   
 16. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  pamoja sana mkuu.
   
 17. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Nepi, nepi, nepi... Ok poa ngoja nichange hata katika dictionary yangu. Sio nape tena ni nepi si ndo mna maana hiyo....
   
 18. M

  MAURIN Senior Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu NAPE ni limbukeni sana akagawa kanga huko,MNYIKA plis usimjibu huyo limbukeni wa fikra NAPE
   
 19. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mmmhh, jamani lengo la JF ni kufikisha ujumbe kwa raia wote wenye kujua kiingereza na wasiojua kiingereza. Sasa hicho kizungu ulichoandika ben unategemea yule mjomba wangu pale stend ya mabasi ya Moshi aliyejifunza kutumia internet kwenye internet kioski ili aweze kutuma email na kusoma JF na michuzi ataelewa kweli hicho kizungu hapo juu????? Tuandike kiingereza rahisi cha kueleweka kwa kila mtu jamani. Hizo kwenye reds and nyinginezo ni wachache wamekuelewa ujue
   
 20. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Saa 11 jioni kuna jembe lingine litaongea(wenje) kutoka mwanza mwanza mwanza
   
Loading...