SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Wangesema hizi ni njama za kile chama cha .............. kuvuruga ushindi wa kishindo
Mbona tayari kuna bwabwa fulani limeshasema kuwa CDM wanahusika na milipuko hiyo?
Wangesema hizi ni njama za kile chama cha .............. kuvuruga ushindi wa kishindo
KWANI SISI TUNAPOPIGA MAKELELE KUSEMA kuwa hakuna acting goverment mnadhania tunatania?
tz kila kitu ni hovyo hovyo tu
halafu huyu rais si alikuwa ni mwanajeshi? au ni rais buyu