Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,010
- Thread starter
- #21
Nilitoa wito wa yeye kukutana na Dr. Slaa kabla ya uchaguzi nilipoona dalili za hali ilipokuwa inaenda na sasa wito huu bado upo. Kwa sababu, watalazimishwa kukutana wakati miili zaidi ya Watanzania itakapokuwa imelazimishwa kulala mavumbini kwa sababu ya kugangamiliana namna hii. Tunaona dalilli zake.